Eti jina lake

Aitwe vyovyote atakavyo, lakini kama hakuna upendo wa dhati ni kazi bure

point:rolleyez::rolleyez: anaweza akamuita hadi majina yake ya ukoo lakini asifurahie teh teh
 
Mambo ya kuitana baba flani au mama flan yanaboa unakuta hata mtoto akiulizwa babako anaitwa nani mtoto anasema baba flan acheni kabisa wengine hutaja majina halisi km kuna ugomvi
 
Ila hii ya mama fulani muda sio nzuri nayo, ndiyo maana kuna watoto hawajui hata majina ya mama zao. IMHO hili jina mama ni haki ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…