Eti jamani, wanakwaya hawa wamekufa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti jamani, wanakwaya hawa wamekufa?

Discussion in 'Entertainment' started by Ms Judith, Aug 24, 2011.

 1. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wapendwa,

  kama mtakumbuka wiki mbili nyuma Bujibuji alileta thread HII

  na mimi nkajitafhidi kufukuakufua nikaupata huo wimbo HAPA.

  sasa nimempigia simu rafiki yangu mmoja akaniambia walipata ajali ya gari wakati wanatoka dar kurekodi na wakapoteza maisha ajalini wakabaki wanne tu! kwa kweli imenishtua sana hii habari

  jamani haya ni ya kweli? naomba mwenye kufahamu ukweli atuweke sawa.

  mbarikiwe sana wapendwa
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Walifariki wachache sio wengi ila kuna mkaka mmoja alikuwa anaimba solo the best amefariki wamezindua album ingine karibuni na hata waliokuwa majerui wakikuwa wamepona walipanda jukwaani watu walifurahi sana hapa kigali
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asante sana mpendwa Bebii,

  nimewapenda sana wanakwaya hawa na nyimbo zao. nilishtuka sana kusikia kuwa kwaya hii iliteketea kasoro hao wanne.

  nafarijika pia kusikia kuwa hata majeruhi wamepona kwa wakati huu.

  nawaombea kwa Mungu huduma yao iendelee kusonga mele.

  ubarikiwe sana mpendwa

  Glory to God!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ajali ya Kwaya ya Ambassadors of Christ

  [​IMG] Hizi ni picha zilizopigwa tarehe 18 Julai, 2010 kwenye harusi ya Shima & Anjelina, kanisani Mwenge SDA na baadaye Mlimani City. Pamoja na hizo picha ni rambirambi za baadhi ya wadau walioguswa kwa namna moja au nyingine.

  Hapa Faraja Sefue anaelezea kwa ufupi jinsi ajali ilivyotokea:

  Poleni sana wanajukwaa.

  Shima amenipigia simu sasa hivi, yeye yupo eneo la ajali huko Kahama na huu ndio mrejesho:

  Ajali imetokea Tinde - Shinyanga vijijini saa mbili usiku jana tarehe 09/05/2011, gari waliyokuwa nayo wanakwaya ni left handed na mbele kulikuwa na lori limeharibika japo walikuwa wameweka majani kama ilivyo kawaida ya wa-TZ. Dereva akataka ku-overtake, hamadi lori la Iveco likawa linakuja na hatimaye ajali ikatokea. Dereva alijaribu kukwepesha gari na alishindwa wote walioumia walikuwa upande wa kulia. Marehemu ni Amos, Philbert na Gitale. Helicopter inakwenda asubuhi hii kuchukua majeruhi na kuwapeleka hospitali ya rufaa Kigali na ambulance inakuja kuchukua miili miwili ya Wanyarwanda pamoja na mwili mmoja wa Mtanzania kwenda Kigoma kwa mazishi.

  Tuwaombee majeruhi wapate nafuu na kuendelea na kazi ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo.

  [​IMG] Mgune Masatu Wrote:

  You know what?

  I received a call from brother Opere in the middle of last night, all the way from Nairobi. Because I was sleepy, I couldn't understand and thought I was dreaming. But when I woke up in the morning, alas, it was no dream. I am sad. So sad.

  Of all the folks, I will live to remember "Jimmy". Why? In 2008 at the retreat in Baraton, for those who were there can remember this. On the tour day (Thursday), all retreaters were given their lunches (take away) which included a bottle of soda. During the dinner, there was a condition that for one to be served some food, he/she had to return the bottle first. Unfortunately, the late Jimmy had lost his bottle, and so he was saying "Ooh kichupa changee" which is a Kinyarwanda for "Ooh my bottle" or in Kiswahili it's "aah chupa yangu!"

  Again last year in July, the "Ambassadors of Christ Choir" were invited for a wedding ceremony right here in Dar es Salaam. The wedding took place at Mwenge SDA Church and followed by a reception at the famous Mlimani City Hall. When we were in the hall, I and my wife, when we were close to him, we called him simultaneously, "Hey Jimmy, Kichupa Changeeee," trying to remind ourselves of the Baraton's incident.

  I am overwhelmed with all these fresh memories circulating on my mind. I am sad! Nimesikitika sana wapenzi. When I remember their famous song "Fuata Nyayo" and seeing Jimmy leading the "Fuataaaaa......." in his white shirt, oooh come on, I am speechless!

  I am shaking while writing this. I may say that I need more prayers, but let's look at our lives and pray for the deceased' families, the church and everyone affected in one way or another.

  Kaka Shima, pole sana. Najua msiba huu unakugusa moja kwa moja kwani utawakumbuka daima walivyotia nakshi kwenye harusi yako pale Mlimani City mwaka wa jana.

  May God take the lead.

  Sorrowfully yours,
  Mgune Masatu.

  [​IMG] Wema Wilson wrote:

  O my God, ni habari ngumu sana kuamini! It's like Amos amekuja kufia nyumbani! Tena mkewe anafanya kazi Shinyanga. Huko kijijini Manyovu na Kigoma kwa ujumla hali ni tete kwa umuhimu wa Amos katika kijiji na kanisa kwa kujituma tangu akiwa ASSA, kwa sisi alikuwa kaka tena mentor mzuri so wenzenu nahisi tuna hali ngumu zaidi. Habari za sasa ni kwamba kuna helicopter inatarajiwa kuwasafirisha majeruhi kwenda Rwanda na Amos anasafirshwa kwenda Kigoma. Poleni sana wote mlioguswa, Mungu atufariji.
  Wamepata ajali kilometa 70 to Kahama na 40 to Shinyanga. Chanzo kilichopo hospitali kinasema driver alikuwa ana-overtake akakutana na lori so wakabanwa na magari yote mawili. Waliokufa ni watatu. Mungu atusamehe tunaomuliza"Why this?" and "Why those?"

  Kwa wale wasiowafahamu hao marehemu kwa sura,kwenye hii album mpya wamejipanga kwa kufuatana toka kushoto, mmoja(Philbert Manzi) anafanana sana na Kagame ,mwingine ni Gatare Ephraim(huwa wanamwita Jimmy) kwenye wimbo wa ebarua ndio ameshika bible,na wa tatu ni Amosi Phares mfupi kdg.

  Majeruhi ni dada aliyeigiza kama mke aliyenyanyaswa kwa kutozaa, kijana aliyebebwa juu kwenye wimbo 'twapaona kwa mbali' na yule dada mweupe ana nywele fupi(anaonekana kama kaolewa). [​IMG] David Sando wrote:

  Ni habari ya masikitiko sana, kwamba hawa waimbaji na marafiki wetu wa kweli!
  Habari niliyokuwa nayo ni wanne, ila naambiwa, list ya walifariki niliyoelezwa kwanza ilikuwa ni Ephra, Patience, Amos and Pilbert, lakini muda si mrefu tena nikaambiwa Patience amenusurika ila yuko hoi kwa hiyo idadi imebaki 3 , ni kutoka kwa friends of jesus crew in Kigali and not confirmed 100%.


  Hebu tuwaombee wanakwaya hawa katika kipindi hiki kigumu ?

  Tafadhali kwa hili nimekuwa na wakati mgumu, mara tatizo kubwa kama ili linatokea na nakuwa na maswali mengi kama just out of curiosity question "Je, huu ni mpango wa Mungu au udereva mbaya wetu na miundo mbinu yetu mibovu"? Lengo sio kutafuta mbaya yuko wapi bali ni kujua kama ni tatizo ambalo liko zaidi upande wetu binadamu au ni vitu ambavyo ni non-modifiable?
  [​IMG] Noah Mubiru wrote:

  It is sad to inform you all of the death of some members of "Ambassadors of Christ Choir" - Remera church, Kigali. They were travelling from TZ where they had a show over the weekend. Those confirmed dead include Ephraim popularly known as Ephra, Philbert and Amos.

  A few others are in critical condition. Please remember to mention them in your prayers![​IMG] Leonard Chauka Wrote:

  Hapa Duniani kila siku inabidi tuwe tayari kwa sababu wakati wote tunaweza kuondoka. Binafsi, habari hii ilinigusa sana. Kati ya wapenzi wa hii kwaya, nami ni mmoja wao. Nilifuatilia sana habari za ujio wao, PTA nilikuwepo na nikabarikiwa sana na nyimbo zao. Nilipopigiwa simu usiku wa manane na rafiki ambaye tulikuwa wote PTA kwa ajili ya kongamano lililoandaliwa na ACACIA Singers, niliumia sana moyoni. Matukio kama haya yatukumbushe kuendelea kuishi maisha yanayomtukuza Mungu wakati wote ili tuondoke Duniani na tumaini.

  Mungu awapatie amani na uvumilivu mkubwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao, waimbaji wa Ambassadors of Christ waliobakia na wale wa Acacia Singers.

  * Sikiliza nyimbo za Ambassadors kwenye blogu hii:   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,712
  Trophy Points: 280
  walifariki wa 3 akiwepo Mtz........ukisikiliza/kuangalia nyimbo zao ni nzuri sana
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135

  asante sana mpendwa Bebii kwa maelezo mazuri. angalau sasa nina picha ya kutosha juu ya kilichowapta hawa wapendwa. cha kumshukuru Mungu, ameendelea kuwatia moyo na huduma yao inasonga mbele!

  Jina la Bwana libarikiwe

  ubarikiwe sana dear Bebii
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nashukuru sana mpendwa kwa taarifa,

  nafarijika kusikia kuwa walipatwa na ajali lakini hawakuteketea. Mwenyezi Mungu kwa rehema zake ametubakishia masazo yatakayoendelea kuichukua huduma ile ya uimbaji mbele kwa ajili ya utukufu wake

  ubarikiwe sana mpendwa

  Glory to God!
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndivo ilivokuwa mwaya so painful my dear.ila yote ni mipango ya mungu duniani wote tunapita
   
 9. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha sana...

  Walifariki wanakwaya watatu kutokana na ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Kahama, May, mwaka huu, wakiwa njiani kurudi Kigali wakitokea Dar es Salaam.

  Kwa habari zaidi, picha za tukio hilo, check hapa...

  ADVENTIST MOURNING FOR AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR MEMBERS.(EPHRAIM,FILBERT & AMOS) « voices of victory the seventh day Adventist Independent gospel Music Ministry
   
 10. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kweli its so painful mprndwa, i feel it right there..

  dah, kazi ya Mungu haina makosa wapendwa, tusonge mbele.

  Glory to God!
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  link uliyoweka imelitoa machozi mengi sana, nimelia sana utadhani wamekufa leo! naangalia hapa wimbo wa fuata nyayo na namuona huyo Jimmy akiongoza huo wimbo, dah... its so painful!

  dah, Mungu aibariki sana serikali ya Rwanda kwa urgent response, na naamini ilipunguza idadi ya vifo kwa kuwawahisha majeruhi hspitali kwa haraka tena kwa ndege ya Jeshi. kwa kweli Kagame ni muungwana sana, serikali zingine zingeangalia tu zinasubiri hadi wanasiasa wapate matatizo ndio watumie facilities za umma. hengera sana serikali ya rwanda na Mungu awabariki sana

  nakushukuru sana mpendwa

  ubarikiwe sana
   
 12. z

  zamlock JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wasabato wanaimba sana hao ila MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA
   
 13. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni kweli mpendwa,

  waimbaji hawa wana vipaji vikubwa sana katika uimbaji na wanamtumikia na kumtukuza Mungu. Mungu aendelee kuwabariki zaidi na waliinue Jina la Yesu na waliotangulia walazwe pepma peponi. amina

  ubarikiwe sana mpendwa,

  Glory to God!
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Nilichokipenda ni Rais wa nchi yao kutumua ndege na kuwachukua haraka...sijui alifahamu kuwa kama wangebaki kwenye hospitali zetu wanngeendeleea kufa.....mmh nawapenda sana hasa wimbo ule wa Nyumbani kwetu ni pazuri au Iwecu
   
 15. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  binafsi nampongeza sana rais kagame. nafikiri anajua vizuri matatizo ya nchi hizi za kiafria. disaster management wakati wa dharura ni very poor. nafikir aliona atumie kitengo cha kushughulikia majanga cha jeshi lake kuhakikisha anapunguza idadi ya vifo ili waendelee kumtukuza Mungu.

  pia image ya rwanda inaimarika kila siku kupitia waimbaji hao manake walishakuwa kama mabalozi wa rwanda katika ukanda wetu wa maziwa makuu kupitia huduma yao ya uimbaji wa nyimbo za injili. so kagame had all these in his mind. God bless him!

  Glory to God!
   
 16. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  duh! Nilisikia habari hizi lakini sikuamini, kumbe ni kweli.
   
 17. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  very sad news!,mi nimeanza kuwafahamu hawa mwezi september huu hapo hapo naambiwa kuna waliokufa kwa ajili mwezi may,naombeni mnisaidie ndugu zangu maana mimi najua album yao moja tu ya 'KWETU PA ZURI',sasa mnisaidie hivi yule aliyeimba kama solo kwenye wimbo wa amani "serikali za duniaaa mabaraza ya umojaaa na mabaraza ya fedhaa ni kila mtawalaaa........" je huyu pia alikufa? pia kuna kijana mdogo pale anatabasamu sana anapoimba(anafanana na kagame) je?,waliokufa walale kwa amani,BWANA ametoa na BWANA ametwaa jina lake libarikiwe
   
 18. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inamaa wewe upo Kigali?
   
 19. g

  geophysics JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yaani wanaimba vizuri...maskini...RIP to those who passed away....Imenifurahisha sana hii video...very organized in professional manner.
   
 20. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Album yao mpya ukiitazama hata km unaroho kavu itayeyuka kwa machozi, hasa ule wimbo wanamwambia Mungu, Why did u let that happen to us? Why did u allow ths sorrow...! ?
   
Loading...