ni kipaji zaidi ya kuimba.
(kwangu kuimba ndio kitu kigumu kuliko vyote)
kipaji sawa na mwanaume kumvumilia mwanamke asiye na wezere
ndugu hapo nimekupata vizuri, yaan we kumvumilia mwanaume asiye na pesa ni ngumu kuliko hata kuimba, kuimba ndo kitu kigumu kuliko vyote hapo awali, lakin mwanaume asiye na pesa ndo imevunja record kabisa.... dah, kaaazi kweli kweli. Mungu tusaidie akina sie tusiokuiwa na pesa.ni kipaji zaidi ya kuimba.
(kwangu kuimba ndio kitu kigumu kuliko vyote)
Ha ha ha teh teh unavumilia tu bwana