ETI iPhone 4s ni shililingi ngapi

dah noma kweli mzee so internal memory yake nayo ina ukubwa wa kama GB ngapi ivi.
 
kwahyo GB 16,32 na 64 bei zinatofautianaaa au zote zinakua bei moja jamani naombeni mnifahamishe ili nisije nikanunua simu fake
 
ila bado hamjaniambia bei zinatofautiana kulingana na ukubwa wa internal memory.
 
Back
Top Bottom