Eti hii ni nini vile?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054


http://4.bp.blogspot.com/_8Thdf0Mm3jk/S0cMHY2NfdI/AAAAAAAAAB8/CJ9U2bBR9wI/s1600-h/imagesCAMJBJ3Q.jpg
Hennaa





http://1.bp.blogspot.com/_8Thdf0Mm3...4Y/s1600-h/tumblr_kpohqyMFlD1qa301mo1_400.jpg
wanawake wa kizanzibar wanasifika kwa urembo na mapambo mbali mbali kama kuvaa kwa mapambo ya dhahabu, na hupendelea kujipaka hina au wanja kama wanafuraha ya kuwa na kitu fulani. au wakati wa harusi.au kuwakaribisha waume zao wanapotoka safari za mbali.

mila na desturi za wananzibar haziwaruhusu wanawari kupaka hina madhumuni hasa ya kuwazuia kupaka hina ni kuwaepusha na jicho la wanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom