Eti hii ni kweli?

Kwahiyo sisi ndio tunaovua samaki kwa nguvu zetu zote, Serikali wao kiulaini wanatuchukulia samaki wetu ambao tumeshawavua tayari?
 
Kwahiyo sisi ndio tunaovua samaki kwa nguvu zetu zote, Serikali wao kiulaini wanatuchukulia samaki wetu ambao tumeshawavua tayari?

ndii hivyo mkuu...
 
Serikali ina mshipi mrefu badala ya mkono mrefu.

Hajakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…