Eti hii ni kweli?

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Inasemekana Tanzania ndo nchi inayongooza Africa kwa mabinti warembo!! Kuna ukweli hapa?
 
ni kweli kabisa tena wazuri sana ni wale ambao hawajulikan wako vijijini au mitaan tu sio hawa wanaojulikana
 
unaweza kuweka takwimu zako hapa...?
 
...wange mwona speka wetu sidhani kama wangesema hivyo...
 
Ni kweli, kuna professor wa Harvard 'alifanya' tafiti akathibitisha hili. Ni kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…