mtoto mdogo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 501 Reaction score 130 Aug 21, 2014 #1 Inasemekana Tanzania ndo nchi inayongooza Africa kwa mabinti warembo!! Kuna ukweli hapa?
namalebe boy Member Joined Aug 19, 2014 Posts 41 Reaction score 3 Aug 21, 2014 #2 Anayesema ni nani na katoa wapi hizo data?
C Chamachama JF-Expert Member Joined Jul 8, 2014 Posts 200 Reaction score 129 Aug 21, 2014 #3 ni kweli kabisa tena wazuri sana ni wale ambao hawajulikan wako vijijini au mitaan tu sio hawa wanaojulikana
ni kweli kabisa tena wazuri sana ni wale ambao hawajulikan wako vijijini au mitaan tu sio hawa wanaojulikana
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Aug 21, 2014 #4 unaweza kuweka takwimu zako hapa...?
Sabung'ori JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 2,166 Reaction score 1,248 Aug 21, 2014 #5 ...wange mwona speka wetu sidhani kama wangesema hivyo...
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 Aug 21, 2014 #7 Ni kweli, kuna professor wa Harvard 'alifanya' tafiti akathibitisha hili. Ni kweli.
E Edwin mkw JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 544 Reaction score 120 Aug 21, 2014 #8 True! Demu wangu akiwepo mkali sanaaa....