Huwa Efavirenz ikitumika ingredient nyingine yyt ambayo ni antiretroviral inakua expanded post-exposure prophylaxis.....ila pia Lamivudine inatumika kutibu hepatitis-B ila at lower doses that that as PEP
Hizi thread zako hapa chini ni kweli mikasa yako ama chai tu? Maana kwenye nyuzi zako umesema uko fresh baada ya kupima. Sasa hivo vidonge unauliza kwa niaba ya mtu flani?Tatizo JF sasa hivi utani mwingi sana kwenye serious issues.