Eti hii ndio CHADEMA inayokufaa!!!

Tusubiri hiyo October tuone nani atakua na mafuriko, mbona majibu yatapatikana tu.
 
Ife tu haina tija, chadema imebaki na kazi ya kupinga maendeleo.Kwanza siyo chama kile ni saccos tu inayowanufaisha wachache.
 
View attachment 1469801

Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.

Kingine namshauri aache uchcochezi.
Salary Slip na Mchora Katuni! Lenu moja! Ndo mumesababisha Serikali ya CCM ilazimike kupeleka Bungeni Mswaada wa sheria ya kutulazimisha Watanzania kumiliki laini moja tu ya Simu.
 
Chadema imebaki mitandaoni na kwenye vibonzo
 
Nimeona CCM, NCCR na CUF ila huyo wa nne sikumuona nani mwenye kumjua anisaidie
 
Hivi bado kuna watu wanaamini Chadema ipo? Ina maana mtu anaweza kuwa na imani kiasi cha kuamini tena uwepo wa chadema? Hich kifo chao mbona kimekuja automatically tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…