July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Naongelea ipod touch 8g..
Vilevile BLack berry curve ni sh. Ngapi? Thanks kwa watakaonisaidia.
Nimeulizia hivyo maana kuna mtu yuko South ana mpango wa kuniletea.. Kanambia iyo curve ni 1.9 laki, je hiyo bei inautofauti na hapa bongo
kaka asante kwa kunifumbua macho..kanambia bb curve 8250Unaposema blackberr curve ni sawa unasema bei ya toyota sh ngapi au unasema nauli ya kwenda mikoani sh ngapi bila kutaja eneo.
Blackberry curve ni series za simu zipo nyingi za zamani ni chini ya hio bei na mpya ni zaidi ya hiyo bei muulize ni blackberry curve ipi
kaka asante kwa kunifumbua macho..kanambia bb curve 8250
vilevile kasema iyo ipod ni laki nne kwa kule