Heeee hela ya mawazo Leo IPO kesho hana unaungaunga kwa kutegemea dili kama la katiba ikiisha ndo bhasi tna ....pesa kwako Iwe kama kama pai 22/7 always there sio blah blah laki kumi
We unatakka za aje?
Ha ha ha nataka za chini ya mawazo kama zipo
More money more problems ....aaaakaaaa
We unatakka za aje?
Mmh me mbn hela za mawazo ila sio msumbufu kabisa. Karibu
Sasa tunaweza kuongea kikubwa?
wenye hela za mawazo wanawazaga maendeleo tu