Eti hasira zake kamalizia kwny simu

Eti hasira zake kamalizia kwny simu

habari za wadau wa fikra oevu,
Nna kaschana kangu bhana tulianza uhusiano c kitambo sana, sasa jana wakati tukiwa ndanj tunastorisha nikawa nimechukua simu yangu naupdate dp na dm za whatsup, nikawa dp nimemweka mama yangu mzazi wakati naandika dm kwamba nimekumiss sasa dear mama ila nikawa naandika jina la utani tunalomwitaga maza, akaona akavimba na kuchukua simu yangu straight bafuni na kuitumbukiza kwenye ndo ya maji (ilikua ka bongo movie kitu cha blackberry 9800 kinazima ttrrrraaaa).
With that shock sikumwambia chochote nikamwomba tuondoke, i took her back home kwao, kwenye gari sikuweza kumuongelesha zaidi anadai samahani eti ni mapenzi yamezidi kwangu,
Sa naombeni mnisaidie, iviwaschana wa hivi jamani wanafaa kuwa wake kweli????
Kiukweli nimekua mwaminifu si kwake tu hata nafsi yangu naitendea haki always.

Kakuona dhaifu sana.......! Siku zote tabia halisi ya mtu inaonekana pale anapokuwa na hasira. Kwa hivyo alionesha action yake kwa kutumbukiza simu kwenye maji, lakini ww reaction yako imekuwa kukaa kimya, hivyo umedhihirisha ni dhaifu kufanya maamuzi. Ulishindwa hata kumzibua kibao kimoja....ok that too extreme, lakini ulishindwa hata kunyanyua ulimi kusema chochote..? Reaction yeyote utakayochukua kuanzia sasa ataiona ni ya kushauriwa na marafiki sio yako asilia.
 
Back
Top Bottom