Eti hapa ni Mlima wa Kitonga

sijaelewa mwenzenu yani kuna barabara nne kitonga sasa hivi?
 
Kwa bongo hivi!!?Sahau, utamskia baba nanihii akisema mradi kama huu HAUTEKELEZEKI!
 
Hao ndio wazungu bwana, wameweza kwenda kusikoendeka mwezi na sasa wana mahesabu ya kutua kwenye mars sembuse hizo tunnels.
 
ndiyo! alafu kwa juu wameionganisha na mabwepande kutoka dsm! wameona bora walibebe lile pori kulipeleka kitonga, kuliko kuliacha pale watu wanauana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…