Eti gauni alilovaa leo Melenia Trump akienda kupiga kura ni shilingi millioni 15

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanaJF!

Yani gauni tu gharama yake ni zaidi ya kiwanja, zaidi ya IST ada za shule za watoto kadhaa. Wote tu tutarudi mavumbini. It's fundamentally wrong and totally unacceptable to spend 5000 sterling pound on just a dress.
35200456-8909899-image-m-89_1604419521822.jpg

35198458-8909899-image-m-54_1604416664238.jpg
35200462-8909899-image-m-110_1604419862473.jpg
 
Mtaa wa Kongo kuna duka la Gucci??ficha upumbavu wako...mtaa wa kongo 200% ni fake,copy products kuanzia nguo,electronics,saa na ata handbags.

Ficha ukapuku wako!!!, how 100% are you sure the dress is Gucci product???, miafrika imezoea kudanganywa na wazungu toka enzi za utumwa na ukoloni.

Hao wazungu wanapenda ujiko na hasa wanapokuwa ni Public figures isitoshe Makampuni makubwa ya "mavazi" kama Gucci, Adidas, Puma nk, yanapenda kuchukua nafasi kama hiyo ya Melania kupiga kura kujitangaza kibiashara, ni mostly not true that dress to cost such amount of US dollars. Hicho ni kitambaa cha kawaida tu kutoka China au popote duniani.

Fumbukeni macho nyinyi watu weusi, mmezoea kudanganywa na ndio maana hadi leo mnaibiwa dhahabu, Almasi nk na watu weupe.
 
Ficha ukapuku wako!!!, how 100% sure are you that dress is Gucci product???, miafrika imezoea kudanganywa na wazungu toka enzi za utumwa na ukoloni.

Oyaa Dogo Kamoooonn kuwa mpole na mstaarab kwenye uzi wangu.

Sauh'waaa?
 
Ficha ukapuku wako!!!, how 100% sure are you that dress is Gucci product???, miafrika imezoea kudanganywa na wazungu toka enzi za utumwa na ukoloni.

Hao wazungu wanapenda ujiko na hasa wanapokuwa ni Public figures isitoshe Makampuni makubwa ya "mavazi" kama Gucci, Adidas, Puma nk, yanapenda kuchukua nafasi kama hiyo ya Melania kupiga kura kujitangaza kibiashara, ni mostly not true that dress to cost such amount of US dollars. Hicho ni kitambaa cha kawaida tu kutoka China au popote duniani.

Fumbukeni macho nyinyi watu weusi, mmezoea kudanganywa na ndio maana hadi leo mnaibiwa dhahabu, Almasi nk na watu weupe.
kwanza inaonekana toka uzaliwe ujatoka nje ya Tanzania,Ukapuku wangu mimi umejaa uelewa wa mambo.Mama ako ata uwezo wa kununua Pad ya Gucci awezi🤣🤣🤣. ondoa Stress zako ,usilete ujuaji wakati wewe ni kilaza...check hizi picha alafu nambie nimnunulie kipi mama ako nae afanane kidogo na mama Trump
 
Attachments

  • Screenshot_20201104-063440.png
    Screenshot_20201104-063440.png
    42.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201104-063420.png
    Screenshot_20201104-063420.png
    49.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201104-063205.png
    Screenshot_20201104-063205.png
    34 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201104-063140.png
    Screenshot_20201104-063140.png
    31.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201104-063205.png
    Screenshot_20201104-063205.png
    34 KB · Views: 1
Kwa wazungu, Melanie Trump ni kama kam mcharuko ka Mbagala, Temeke, Tandale, Magomeni au Kinondoni... Ila tukubali, kaandikiwa kuwa atakuwa 1st Lady...Wanayo pesa za kuchezea, anayefaidi hapo ni yule so called fashion designer, kua uone mambo,,,
 
Hiyo pesa kwa Trump ni ndogo sana. Trump ana towers na international hotels si za kitoto huko Marekani. Pale Chicago pekee yapo yakutosha. Pesa hapo sio ishu kabisa.
 
Kama hauna lazima uone ni ukichaa.
Tuendelee tu kujifariji ndugu kuwa mwisho wa siku wote tutakufa maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom