Eti Elimu nayo Yakamuliwa Kodi

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,193
299
Inasikitisha kwa jinsi tusivyoona umuhimu wa research au niseme elimu kwa ujumla. Tuko radhi kusamehe kodi wageni wanaokuja kwa visingizio vya kuwa investors, wakati ni wafanyabiashara wa kawaida wanaotafuta faida, lakini elimu yetu tunazidi kuiminya na kuibebesha kodi kwa vile tu hao waTZ wanaoshiriki kwenye hizo tafiti, wanapata ka-income kadogo ka-kuwafanya wajihimu katika hizo tafiti. Huu sijui ni umbumbu, wivu au ni kitu gani. Hivi kweli kwa mwelekeo huu tutafikaa...???

Universities censure tax on research funds
DEOGRATIAS MUSHI in Arusha
Daily News; Tuesday,March 11, 2008 @17:02

TANZANIA Revenue Authority (TRA) has been criticised for its recent decision to impose tax on funds dedicated to research in universities and other higher learning institutions in the country.

Addressing a press conference here yesterday, The Vice-Chancellor of the Open University of Tanzania, Professor Tolly Mbwette, said the move would retard efforts to equip the country of learned professionals.

Professor Mbwette said that he has recently received a circular from TRA, instructing him that all monies dedicated to researches should be taxed, to enable the government collect more revenue.

"We are against this decision because it sounds illogical and it would cause big confusion while researchers undertake crucial assignments. It is a big mistake to impose this kind of tax", said Professor Mbwette.

He added that most funds dedicated to various researches are donated by individuals and
organisations which would not like to see it being deducted in any way. Recently, some donor countries have embarked on projects to support activities of local researchers, to enable them become professionals.

For instance, the Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam has set aside approximately NOK 25 million over five years (2007–2011) to support bilateral co-operation projects between Tanzanian and Norwegian institutions of higher education and research.

Last year, the Ministry of Foreign Affairs and Norwegian Embassy in Dar es Salaam and the Norwegian Centre for International Cooperation in Higher Education (SIU), also entered into an agreement about the Tanzania-Norway NUFU Programme.

It aims at supporting academic co-operation in the area of management of natural resources, forestry, fisheries and wildlife, with a focus on good governance and a reliable public administration. Most academicians fear that such the tax imposition on research may frustrate donors' efforts and eventually pull out from supporting such projects.
 
kwani nchi nyengine zinafanya vipi ? hebu tupeni utaratibu wa nchi za wetu tukianzia na jirani zetu kama kenya na uganda
 
Kwanza nafikiri kwenye mambo mengi ya kimaendeleo, ni vema tungaangalia mbali zaidi ya hapa jirani kwetu maana nao hawajapiga hatua kubwa kama sisi.

Nchini kwetu kwa vile tuko nyuma sana kwenye R&D inafaa tuwapatie motivation wahusika ili wajihimu sana kwenye tafiti zao.

Nchini SA, US, nchi nyingi za EU na Japan, pesa ya research ni tax free. Hii ni pamoja na schorlarships wanazopewa wanafunzi wanaosaidia reserchers na mara nyingi pia kwa baadhi ya vipato vinavyotokana na miradi ya research. Hii ni kwa nchi zilizoendelea ambapo vipato vya wahusika ni vikubwa, kitu ambacho ingetakiwa hapa kwetu, ambapo vipato vyake ni vidogo, tuwamotivate zaidi wahusika katika kutumia muda mwingi zaidi katika utafiti.
 
Duh kweli kama ni mianya ya kodi basi nadhani Tz tunaongoza kwa kuitafuta kwenye anga za "NDIVYO SIVYO"..... Tunaanza na kodi kwenye research funds ambazo ni za misaada mwishowe tutaambia hata malipo ya shule "School Fees" nazo zitawekewa kodi yake.... Yap, kwa sasa hatuweki kodi kama wengine (nchi nyingine) lakini tukianza kuingiza hizi kodi kwenye anga la elimu hatutakuwa na nia nyingine zaidi ya "Kuhakikisha kwamba tunapunguza watakaokuwa na uwezo wa kusoma/kwenda shule"

Jiulize, kodi zetu ni kwa manufaa ya AFYA na ELIMU kwanza then vingine vinafuata.... Sasa kuweka kodi kwenye elimu (research ni elimu pia) ili kuweza kutumia kodi hiyo kwenye ELIMU?!!?!??^&*?$#@ It just don't make sense to me at all!!

Hivi jamani, kuuliza si ujinga hebu mnisaidie hili: "HIVI MAAMUZI YA KODI/MAPATO YATOKANE NA NINI NA WAPI INAPANGWA NA NANI?"....... Bear in mind kuanzia TRA (kodi kubwa) mpaka kule kwenye kodi za mkokoteni na baiskeli (vijijini)!!
 
Nafikiri ingekuwa rahisi sana kama kukwepa kodi kungefanywa kosa la jinai kama zilivyo nchi za wenzetu waliosonga mbele. Kama, say Manji, angefungwa kwa kukwepa kodi, wengi wangeshika adabu. Hivi sasa tuna mamilionea kibao hii ni pamoja na wanasiasa, lakini nenda ukaangalie kodi kiasi gani wamelipa, utacheka.

Wafanyabiashara karibu wote TZ ni wakwepa kodi kasoro wale wenye viwanda. Ndio maana viwanda vyetu haviwezi kushindana na imported products. Wengine wanaonyongwa ni waajiriwa serikalini, kama vile waalimu, polisi, manesi n.k. Hawa wanakamuliwa kodi kama maziwa, mpaka yaishe na damu ikianza kutoka ndio wanaachiwa.
 
Ila tuwe wazi na realistic! Jamani Fee Prof. UDSM Consultacy ni dola 300 kwa siku! Sasa kama akipata kazi ya miezi miwili ni dola ngapi???? Je mnajua mshahara wa Prof. kwa sasa Tz? nadhani inafikia milioni 3! Je kwa nini asilipie kodi hata basi 10%? Walipe tu kodi wote ila kusiwe na upendeleo na hao 'technical advisors' waliojaa mawizarani wanaolipwa pesa nyingi sana ..sii nao walipe kodi?

Tukumbuke hadi leo hii TRA hukusanya tu 14% ya kodi!

Mimi naona walipe hata kidogo na pia posho za mawaziri na sitting allowance za BoT za 105,000 kwa siku kazini je nazo kwa nini hazitozwi kodi? Na wabunge mbona wanaingiza magari bila kulipa kodi? Nao pia walipie --yaani asipendelewe mtu!

Naona Waziri mpya wa pesa amapania haswa kwa wasomi this time!
 
Kukwepa kodi ni kosa la jinai Mkuu. Tatizo ni kwamba wakwepa kodi ni mamilionea, na hapa Bongo tuna 'unwriten law' ambayo hairuhusu kufungwa kwa mamilionea. Hapo ndipo kwenye tatizo.
 
Ila tuwe wazi na realistic! Jamani Fee Prof. UDSM Consultacy ni dola 300 kwa siku! Sasa kama akipata kazi ya miezi miwili ni dola ngapi???? Je mnajua mshahara wa Prof. kwa sasa Tz? nadhani inafikia milioni 3! Je kwa nini asilipie kodi hata basi 10%? Walipe tu kodi wote ila kusiwe na upendeleo na hao 'technical advisors' waliojaa mawizarani wanaolipwa pesa nyingi sana ..sii nao walipe kodi?

Tukumbuke hadi leo hii TRA hukusanya tu 14% ya kodi!

Mimi naona walipe hata kidogo na pia posho za mawaziri na sitting allowance za BoT za 105,000 kwa siku kazini je nazo kwa nini hazitozwi kodi? Na wabunge mbona wanaingiza magari bila kulipa kodi? Nao pia walipie --yaani asipendelewe mtu!

Naona Waziri mpya wa pesa amapania haswa kuwapana wasomi this time!

Tawile, ukweli wenyewe research nyingi hapa nyumbani ndizo zinazowatajirisha wengi wetu. Sioni ubaya kama watafiti wetu watatozwa kodi katika pato lao tu linalotoka kwenye research fund. Ila sheria hiyo iwekwe wazi ni kiasi gani mtu anapaswa kutozwa iwapo anaingiza kipato cha ziada nje ya mshahara wake, hii ikiwemo na posho za ubunge.
 
Back
Top Bottom