mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Sema hujui kama Kiba in msanii wa nne kwa East Africa kuingiza pesa kupitia muziki ,xo hata kama asipopata diri la siasa bado yuko vzur..hata hivyo ukimuweka kiba pande hizi unakuwa umeingia cha kike..?!ally k bado sana na atanyooka tu
Kukataa inawezekana si inategemea na maonyesho mangapi anataka afanye ???????? (kama anamtaka atembee nae wilaya zote za tz ambazo ni 130+ unadhani inatosha) lakini mbona huwa munaamini magazeti ikiandika habari zinazo muhusu DIAMOND mbona kuna ile ya kiba kupewa tuzo hamukuijadili au ndo yule si supa staa ila ni wa hapahapa.
mkuu daimond amesain mkataba wa kumpigia campaign lowassa hadi wakati wa campaign uishe so this is not trueNaona mnazunguuuuka, m500 ni pesa ya malipo ya show 10 za diamond, sasa kama atalipwa kwa zaidi ya show 10 kwanini asikatae....
Kwahiyo we ulitaka kuipata Hii habar kwenye gazeti la The Guardian,kama hutaki I we hivyo jitahidi kuziba nyeti zako lasivyo Hii habari itakuingia..Gazeti gani yale yenye rangi rangi? mi hainiingii hata matakoni hii habari.Bora hata angekuwa mwanasiasa!:Mtumbuizaji ambae hata show zake cad za chama haziuzwi hata moja!Shigongo aache usengerema wake!
Ninachokijua in kwamba ktk siasa hakuna kula kiapo kwa kile utakachosema ama kutenda,na huwa pocbo kwa mtu kuipinga kauli aliyoiongea Jana..Hii habari ilitoka wakati lowassa akiwa fisadi kule kwenye rangi ya njano na kijani,ilishangiliwa sana na bavicha hapa na kumpa sifa nyingi Diamond, Leo wale wale wanafiki walimsifia kuikataa wanamponda, siasa za kiafrika bwana, zaidi ya wehu, watu hawaeleweki wanashabikia nini