Eti chupi kazi yake nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani, ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukikaa uchi utasikia hujavaa chupi, sasa hapo chupi ya nini?jamani kama sio kuoneana??
zamani ilikuwa ili ushike kalio kwa wasichana ilibidi ufunue chupi kwanza.,, ila siku hizi ili kuipata chupi lazima ufunue kalio(bikini)
hakuna umuhimu tena mjomba,,