eti.............choo cha treni hakina chemba...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

eti.............choo cha treni hakina chemba......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, Oct 26, 2011.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmh,

  Habarini za asubuhi waungwana,

  poleni na misukosuko na gwaride la maisha..................

  Unajua tena bongo, vijimaneno huwa haviishi, kama kawaida vinaibuka na kupotea kwenye jamii,

  lakini vingine vinashamiri kama sio kutakata miongoni mwa jamii zetu...........

  huwa nasikia huu msemo, hasa kwenye redio zetu hizi za kibongo,

  ''Choo cha treni hakina chemba''

  nimejitahidi sana kudadavua lakini bado nashindwa kupata maana hasa ya huu msemo.......

  najiuliza ni maana gani hasa ilikuwa inakusudiwa hapo?

  sijui ndo umri huu umenipita, au ndo kushindwa kudance na mirindimo ya kisasa.

  Naomba msaada wenu please........................


  wasalaaam aleikhumm.................
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ngoja wadau waje wakujuze
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa hakina chemba ndo maana kujisaidia mpaka mfike polini..
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Habari yako Bacha... Pole bana naona msemo umekubana mpaka umeeanza kwa kuguna....lol... Enways mie nashukuru umeuleta maana ndo "bismillah" Hivo tuko pamoja....
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kinachemba bwana!!
   
Loading...