Utasikia mtu anasema, CHADEMA ni chama cha mitandaoni, kwamba haki-reflect wanachama hai. Sasa mimi huwa najiuliza, kama CHADEMA ni chama cha mitandaoni, ina maana hao wa mitandaoni si Watanzania?

Ni watz. Ila si wapiga kura. Wengi wao kura zao wanapigia mitandaoni,kisha wanajipa imani wataishinda ccm. Na wanapoona matokeo ni tofauti,hudai wameibiwa
Kama chama cha mitandaoni marungu, mapanga, visu na bunduki ya nini? Kwanini wahofie katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kushindana na chama cha mitandaoni ambacho mtaani hakijulikani wala hakina nguvu!?