Siasa za kijinga kuliko maelezo,Sasa tujiulize watu hawana AKILI namna hii wanawezaje kutuongoza ss tunaowazidi AKILI ni jambo lisilowezekana,mm ninafurahi kwa sababu CCM wameshajua mapema kwamba wananchi wameamua kuipumzisha CCM.
ONYO: CCM msituletee habari za Rwanda ss wananchi ndio waajiri wenu sasa tunakufukuzeni kazi Rasmi mwaka huu,hakuna cha Rwanda wala LIBYA ss hatuwezi kamwe kuongozwa na watu tunaowazidi AKILI.Fanyeni juhudi kujiandaa kisaikolojia.Wengine akina Bulembo eti tunajua kura zetu kama sio ukichaa ni nn lzm muehuke mwaka huu na wengine mtakuwa mnaota ndoto huku mnatembea.Wananchi mwaka huu wanafanya kitu kinaitwa delete tupa mbali kabisa.