Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Ni kweli huyo mama Samia haishi vituko.Huyu mama haishi vituko huyu
Si unakumbuka kile kituko chake cha mwaka aliposema kwenye mkutano wake mmoja wa kampeni kuwa chuma iliyogundulika kule Liganga itaweza kutumika kwa miaka milioni 200!
Duh..... kweli Sisiem mwaka huu imetuletea mgombea VP ambaye ni full comedian!