Eti bado inatumika, Bongo bana, khaaaa

mbona hata ulaya zipo na zatumika?
 
hapa dar pita kwa ma dobi kibao tu utazikuta, pale sinza vatican!
 
mbona hata ulaya zipo na zatumika?
Hakuna hii kitu mie huku sijaona hata kidogo huku kila kitu umeme hakuna mgao wa umeme huku mie nina miaka zaidi 20 sijawahi kuona au kusikia kuna mgao wa umeme au mgao wa maji hakuna hii kitu Mkuu hio kitu pasi ya mkaa huko huko kwenu East Africa. Mkuu gfsonwin
 
Last edited by a moderator:

basi kwenye visiwa vya trinidad bado ipo n ainatumika mkuu.
 
Reliable anytime,less costy,less risks of causing electric shocks when forgoten to be switched off,African by nature,
 
Ninayo home! very reliable!
 
Mimi nakaa Tandale kwa Mtogole, huku bado tunaazimana hizo pasi.
 
sasa kama hamna umeme kwanini isiendelee kutumia? tena inasaidia kweli
 



Kaka MziziMkavu usikatae juzi nilikuwa natembea katikati ya Amsterdam nikakuta duka la vifaa vya kijeshi nikaona nichungulie kidogo,kuingia niliikuta hiyo pasi pamoja na taa ya chemli na vitu vingine vingi tu.Nilipowauliza wanaweka vya nini wakati wao wana umeme muda wote wakaniambia hivi ni maalum kwa watu wanaokwenda camping,hivyo bado vinatumika kaka lakini si kama huko kwetu....
 
Last edited by a moderator:
Hapo tatizo ni aina ya mkaa unaotumika tu basi!.
Kama ni wa mchuchuma basi ipo juu!.
 
......kwa hali ya umeme ilivyo kwa sasa nchini, hiyo bidhaa ni reserved tool kwangu na kila wiki lazima itumike once au multiples.
 
Dah ila kweli hata huku nlipo mimi hiyo kitu haipo'ila kwa home naamini hata miaka 30 ijayo bado itatumika tena ni kitu muhimu sana
 
huku kwa bi nyau ni kama kawaida......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…