Eti baba, unataka kuanza tena shule?

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Junior kamuuliza babaake, ''Eti baba, unataka kuanza tena shule?". Baba akauliza, ''Kwa nini umeniuliza hivyo?".
Junior akasema, ''Jana usiku, nilisikia ukimnong'oneza mama, eti, kama anakupenda, murudie la pili...! Hivi baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mrudie la pili? Usikubali hata kidogo".
Baba akajibu, " kuanzia leo utalala jikoni".
 
Vizuri baba alielewa somo haraka sana na kutoa suluhisho maridhawa.
 
Toto kubwa la darasa la pili linalala na wazazi unategemea nini. Miaka nane wenzie wana watoto ahahahaaaa (the youngest mother in the world_5.6/7 months)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…