Eti Azam ni waleta mapinduzi ya soka hapa nchini,NAKATAA


Labda dogo ameamua kufanya mgomo baridi kwenye mazoezi hivyo kocha akaamua amuache kwenye kikosi cha kwanza, you know one problem of these players of ours they lack PROFESSIONALISM characters...
 
tuwe na tabia ya kuheshimu mikataba yetu,hata kama yanga walitaka wamrudishe walifikia dau la azam walilolihitaji?,nasikia walitaka wamchukue kipoa wakati wao azam wametia hela nyingi,hawa jamaa kiukweli utake usitake ndo wakombozi wa soka la ubabaishaji la bongo,acha wawafundishe simba na yanga nn wanapaswa kufanya na tuache ushabiki wetu wa kinazi kwani hili ndo linaloharibu soka letu,azam oyeeeee
 
azam wa kuleta mapinduzi ya soka ? wamejiingiza kwenye biashara ya kununua mechi kwani hamjui
 
Nikutafute kesho Kaka twende ground?,lkn tutakaa jukwaa la Yanga ili ushangilie vizuri hao Wageni wako
Mkuu unataka nikae jukwaa la Yanga halafu nishangilie wageni? naona umechoka kuona post zangu humu. Ila kiukweli AZAM wangetufunga goli moja au kututoa kwenye penati ningeweza kuwashangilia ila kwa kipigo kile hata wakinipa hela nitazila halafu naenda kushangilia wageni, hicho kipigo ni kikubwa mno naona waliamua kuwalipia kabisa kipigo tulichowapa nyie kama Man City walivyowalipia Arsenal kwa Man United.
 

Nimeona mambo ya Ngass leo.
 
Nimeona mambo ya Ngass leo.
o

Umeona enh,huyu Muingereza ni Mshenzy kimoyomoyo anamkubali sana Ngassa ila huwa hampangi ksbb ya kumkomoa,ila akiona maji yamezidi unga aliowapanga hawamfanyii mambo utaona anamuinua kwenye benchi,refer mechi na Tusker na hii ya leo dhidi ya Vita,ksbb aliona anahitaji ushindi imebidi amuingize lkn mechi ile na Simba ksbb ushindi ulikuwa kweupe alimpiga benchi dk zote 90+5.
Watake wasitake Kijana atarudi nyumbani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…