Uchawi ni councious ya mtu tu, wewe ulishamuacha ukahama usiendelee kuulizia ulizia habari zake hata kwa marafiki zako! Zitakukosesha raha tu....Move on mkuu..
YESU NI JIBU!!!!!!! Iwe kweli ama uongo ukiwa na YESU hana jeuri ya kukufanya lolote! Aisee mpendwa utatushikaje na mtu kukufanyia uovu ilhali hujamkosea chochote na Yesu yupo?
Mi nikimuanza mtu kumtendea ubaya afu akanitisha na Uwicha natishika kweli kweli manake nakuwa nishaharibu kwa Mkuu huo sasa back up yake nakuwa naiomba kwa imani tu!!!!!!! Ila Mungu Baba ni Mwenye Huruma!!!!!
Uchawi ni nadharia ambayo kwanza huitaji imani.Ukishaamini,nadharia hiyo huwa ukweli ambo unaweza kukudhuru na kukupelekesha vile utakavyo.Mkuu Tetra,kama huamini,amini nakuambia uchawi hautakufikia wala kukudhuru.Kinyume chake,ndio hali hali kama uliyonayo hujitokezaPetro
Binafsi siamini ila naogopa
Uchawi ni nadharia ambayo kwanza huitaji imani.Ukishaamini,nadharia hiyo huwa ukweli ambo unaweza kukudhuru na kukupelekesha vile utakavyo.Mkuu Tetra,kama huamini,amini nakuambia uchawi hautakufikia wala kukudhuru.Kinyume chake,ndio hali hali kama uliyonayo hujitokeza
No!! usifike huko mkuu!! fuata ushauri huu;; nenda kwenye kanisa ukaeleze shida yako watakusaidia kama mimi!!
Mimi ninaamini kama ninavyoamini uwepo wa Mungu. Lakini ninajua Nguvu za Mungu ni kubwa kuliko shetani na agents zake (wachawi n.k).