Eti anaoteshwa?

JICHO LA TATU
Nashukuru kwa kunielewa na kutambua mchango wangu. Kwa ufupi ni kwamba quacks kama hawa ni wengi sana kwenye dini siasa hata maisha. Ana lake huyo na mtolee uvivu umwambie kuwa wewe huamini katika ndoto na ushirikina. Na ukiona anakusumbua mwambie una mchumba tayari. Mtafadhalishe kuwa unamheshimu sana na ungependa heshima yenu iendelee lakini asizidi hapo.
 
mtoa mada lara 1 kamalîza. thread closed. . .
 
Last edited by a moderator:



Ok ntajaribu nione itakuwaje
 
ni kweli kabisa ndoto zipo.

Mie kweli nimeoteshwa, kuna mtu mmoja anatakiwa ananiii, ngoja nikamwambie kabla ndoto haijaeksipaya.
 

mmmmh mwenzangu sio walokole wote wanantumia hiyo...na hajasema kama huyo kaka ni mlokole au lah...na kama ni mlokole kila kanisa lina utaratibu wake kuhusu suala hilo..by the way suala la ndoto kuhusu ndoa nowadays its very rare..(japo inawezekana) coz Mungu ana njia nyingi za kusema / kmjibu mtu amwombaye...lakini kwa 7bu ya udanganyify mwingi..ndoto sio za kuamini sana...naam kama walivosema wengine kama Mungu kamwonesha katika ndoto naam nayeye dada inabidid huyo Mungu amwoneshe katika ndoto otherwise...huo ni usanii wa kawaida tuh!
 
...sanaa zingine bana, si mtu aseme ukweli tu kwamba amependa? kwani kila unachokiota lazima ukubaliane nacho!!!
 

Mbona hiyo simple, mwambie nimepima ngoma majibu yangu siyaelewi. Kama kweli atakuwa ameoteshwa hatakata tamaa maana Bwana hafanyi makosa.
 

You are right, sio walokole wote. Lakini nina mifano mizuri tu ambayo walokole walifanya kuoteshwa, lakini alipofanikiwa akasema lililo rohoni. Mpendwa, mbona tunaota kila siku mambo mengi mazuri/ mabaya /ya ajabu. Unaweza kuota umelala na mke wa fulani (samahani kwa mfano huu) for example, swali: utatoka na kumwambia mke wa mtu kuwa umeoteshwa naye hivyo mfanye!! Nonsense!
 
Huyo mhuni tu, anatafuta gia za kukulamba. Anaoteshwa?! Hakuna kitu kama hicho.
 

uko sahihi kabisa, yaani kama mwanaume humtak mwambie kuhusu hela yaani hutokaa hata uskie simu yake. ni njia nzuri sana ya kukimbiza mapenzi usoyataka
 
kwani wewe hujui trick watu wanazozitumia kutongozea?
 
Muambie na wewe umeota amekuoa na usiku baada ya harusi amebakwa na wanaume wenzake hadi akafa... so hutaki eda na uwe mjane wewe....
 
Tongozo la kiimani hilo.....
 

Ana pepo huyo. Hizo ni njia tu za kukudanganya mwambie aendelee kuota akishtuka kwenye ndoto atajua la kufanya.
 




Nimejaribu kumwambia amesema eti BWANA ATATENDA
 

alafu huyu muwongo kama anaoteshwa inakuwaje kuwa anashindwa kulala!? ili uote sii lazima ulale ama?
wee mwambie utanila ndotoni tuulakini mzigo huu huupati ng'oo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…