Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Mengi yameongewa juu ya maandamano na ziara ya viongozi wakuu wa CHADEMA pamoja na baadhi ya wabunge wao katika kanda ya ziwa. Baada ya ziara ya mwisho ya CHADEMA mkoani Kagera, Waziri Mkuu (ajiitaye mtoto wa mkulima) alianza ziara mkoani humo. Wengi walidai kuwa hiyo ni ziara ya kufuta nyayo za CHADEMA.
Sasa angalia katika hii picha, kisha toa maoni yako.Huu ulikuwa ni mkusanyiko uliokuwa unamsikiliza Mh. Pinda, na hao walioko hapo mbele walikuwa wanamuuliza Pinda maswali.
Mbona naona vitoto tuu vimejazana!!

hapo ni ka anasema baaaaba tusidiiie baaaaaba maisha maguuumuHuyu Mwenye MIC aitwa Mariam Said, mdongo wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Saverina Mwijage ambaye Amefulia kwa sasa.
Najaribu kufikiri, hivi kiongozi anajisikiaje akiona watu anaowaongoza wako kama wanavyoonekana? Hii ya maswali hata siielewi maana hamna kitu kinafanyika. Yule mtoto aliyeuliza inakuwaje kiongozi mmoja anakuwa na vyeo vingi mpaka leo hajajibiwa.
Naombeni niulize, Hivi ni macho yangu au watu wa Kagera wengi ni wafupi? Au wengi wao ni watoto...?Ukimtazama tu usoni huyu Mama mwenye MIC, Utagundua kuwa swali lake linaugusa moyo!
Huyo mwenye kijani ndo katumwa kuwatungia maswali ya kuuliza? wasijemuuliza gumu likamuumbua <<<nakumbukia tu="" midahalo="" enzi="" za="" uchaguzi="">>>