Eti anaamini nitakuwa wake

Dah! Ndio maana nikawa nakustua uje mapema sababu pilau liko mezani tayari

Hapa nimeshiba mpaka nacheza mziki kuchangamka, pilau la sikukuu si mchezo!!..naona sitakula mpaka kesho jioni, ha ha

Mleta mada: Itakuwa unampenda huyo dada nawe, kama vipi mkamilishe mambo kuwa wote si kukomoana..kama humfeel mwambie achukue 50 zake simple!!
 
Kachumbari umeipata?
 

yap! Utakuwa wake! Yeye ni binti asiyekubali kushindwa. Siku zote unapohitaji chochote pigania kwa nguvu zako zote bila kukata tamaa.
 
yap! Utakuwa wake! Yeye ni binti asiyekubali kushindwa. Siku zote unapohitaji chochote pigania kwa nguvu zako zote bila kukata tamaa.
Kama Sammy wa days of our lives, lile toto bishi hatari wala hapendi kushindwa
 
Sababu unamlambia midomo ukikaa nae na macho yanakuwa ya huruma, we mkazie macho usoni umtoe nduki uone kama atarudi
 

nshamwambia, lakin haelewi
 



Guys kwanini kila kitu kiwe mashindano katika mapenzi? Yani coz ulimfuata akakataa basi yeye alipojirudi unataka askie yale maumivu oloyaskia. From maelezo ulotoa I think kua nae ni best option mana ulimtongoza, akakupotezea, ukampotezea, akagundua kua alifanya mistake kukupotezea for U are the one! But ur disturbed head (with kisasi) iko so consumed with furaha kua anakutaka basi unamfanyia kama alivyonifanyia. Achana na akili yako, WHAT DOES UR HEART WANT?
 
nshamwambia, lakin haelewi

Mmmmh! Siamini, hizo technique tunaongoza wadada. Kama kuna chembe za chances for a guy anayekutongoza ukimkatalia am telling u hakati tamaa. BUT kama hakuna chembe za chances for a guy anayekutongoza the way utavyomkataa am telling U - hageuki nyuma. Yani jinsi unavyorespond haijalish unakubali au kukataa Inayojalisha ni jibu lako kama linakua supported vipi na the WHOLE of you.
 
Huyo jamaa yake keshamtosa, anaamua kurudi kwako, ukimrudia atakunyanyasa sana, anaamini unampenda kuliko anavyokupenda ....
 
Potezea babu, huyo anakujaribu ili ajue kama bado unampenda au vip, atakuja kukusumbua baadae, kama vip mkubali ila muweke kwene mabano ili uone dhamira yake halisi.
 
Kwani nyi wanaume hamjawajua tu wanawake wengine walivyo jamani....sifa ya dem ni kuringa kama si kudengua..alikushtua tu aone kama kiberiti kimejaa...Trully give her another chance.
 
nshamwambia, lakin haelewi

Kama kweli huna mpango nae,tafuta demu hata wa sanaa tu, halafu mara zote akuone nae.hata kufuata tena huyo labda ana lake jambo! yaelekea huko aliko kuwa kwa miaka hiyo 3 kesha timuliwa ndo kaona aje aegeshe kwako.USIM SIKILIZE HANA MAANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…