Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Jamani inaaminika kuwa sio tatizo kubwa kwa mwanaume kuwa na ka mchepuko,sasa mimi wa kwangu kwa kweli yuko vizuru sana hasa kule kwa nyuma amejaaliwa zile neema alizowahi kuzisema yule Sheikh.
Sio makubwa kivile in short yananivutia kila wakati, kama wiki moja iliyopita tukiwa tumekaa tunacheki muvi c nikamsifia mdada mmoja alikuwa amevaa bikini.
Akajua nazipenda kwa hiyo nae akazinunua nyingi tu za rangi tofauti tofauti ili azidi kunichanganya, sasa Jana nikaenda kwake hee! akaanza makeke mara mtandio ukadondoka.
Kale ka kamba ka bikini kamezama kabisa ndani, nikamtania kwamba amekuwa kama wale wanaojipiga bei alifura kwa hasira huyo.Sasa leo nimeenda kwake nikakuta ndio anamalizia kuzipiga kiberiti masikini hakujua kama mi zilinipa wehu ile jana.