Wametuzidi kwa lipi, train na ndege? Angalieni data za world Bank au IMF. Hizi hapa za Wikipedia
Ethiopia (2015 estimates):
Population- 99.5m, GDP (PPP) –Total USD 164 billion, GDP Per Capita – usd 1700, ni nchi ya 174 kwa Human Development Index
Tanzania (2014 estimates):
Population- 51m, GDP (PPP) –Total USD 128 billion, GDP Per Capita – usd 2591, ni nchi ya 151 kwa Human Development Index
Hao wanaokamatwa Tanzania wakikimbia nchi yao, ni wakimbizi wa Kiuchumi, hakuna lingine.