Ethiopie hiyo

Sisi bado hata ya maji yanatushinda.
 
Mbona suala la njaa kali huko hamlisemi? Hiyo treni watu watakula!

At least kuna hilo treni, umeme wa uhakika pengine next ni suluhisho la kudumu la ukame. Hapa kwetu pia njaa ipo sana tu labda kama wewe hutembei maeneo mengi ila hali ni mbaya! Sisi sio wa kushangaa Ethiopia
 
Ethiopia wanatisha sana.

Wametuacha nyuma sana
 
Alieharibu Ni aliepita,kwa huyu wa sasa tunaweza fika aisee,mdogomdogo
Kwa kweli siamini kama anaweza!! nchi haijengwi ndani ya miaka mitano au kumi!!! bado sioni dalili za kufika huko!!
 
Kila nchi ina shida zake kila siku tunakamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia makundi kwa makundi
 
Hivi Hawa raia wa Ethiopia wanaokamatwa wanakimbia nchi yao tatizo ni nini?
 
Wametuzidi kwa lipi, train na ndege? Angalieni data za world Bank au IMF. Hizi hapa za Wikipedia


Ethiopia (2015 estimates):
Population- 99.5m, GDP (PPP) –Total USD 164 billion, GDP Per Capita – usd 1700, ni nchi ya 174 kwa Human Development Index

Tanzania (2014 estimates):
Population- 51m, GDP (PPP) –Total USD 128 billion, GDP Per Capita – usd 2591, ni nchi ya 151 kwa Human Development Index

Hao wanaokamatwa Tanzania wakikimbia nchi yao, ni wakimbizi wa Kiuchumi, hakuna lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…