Ethiopia’s Tourism Revenue Hits Record High In 2015, Beats Kenya And Tanzania Combined

Kuna watalii ambao hupenda kwenda Ethiopia kwa ajili ya sex-tourism miongoni mwa aina nyingine za utalii. Kuna nchi duniani ambazo zinapendwa sana na watalii wa utalii huu nilioutaja. Nchi nyingine ni kama Madagascar, Thailand, n.k. Si unajua tena akina dada wa kiethiopia kama mtu hujatulia ni lazima ukamatwe masikio tu kwa jinsi walivyobarikiwa na urembo.
 
Ethiopia’s tourism revenue jumped 20.7 percent in 2015 to a record high of $3.5 billion from $2.9 billion in the previous fiscal year lifted by increased number of foreign tourists visiting the East African nation, data from the Ministry of Culture and Tourism showed.

The country’s revenue was more than what it more tourist established neighbors, Kenya and Tanzania, earned last year combined. The two east African neighbors cumulatively earned $2.77 billion.

Kenya’s revenue from its tourism sector dropped about 3 percent in 2015 to $837 million as visitors numbers continued a four year drop due to increased insecurity caused by frequent al Shabaab militants attacks, Reuters reported.

In Tanzania, a reduction in number of visitors last year also saw a fall in foreign exchange earnings from tourism to $1.93 billion, from $2 billion in 2014, The Exchange reported.

The number of visitors to Ethiopia increased by 136,000 to 910,000 in 2015, an estimated 88,000 foreign tourists per month, as the country hosted a number of high profile international business conferences and exhibitions, Ethiosport reported.

Ethiopia, home to nine UNESCO World Heritage sites, wants to become one of the top five tourist destination in Africa by tripling the number of foreign tourists visiting the country to 2.5 million in 2020.

This will make tourism making the leading sector in one of Africa’s fastest growing economies. It had targeted to raise $3.5 billion from the sector this fiscal year.

On average visitors to the country have rose by 12 percent annually over the last decade as the country economic growth picked up and the government introduced incentives to attract investors into the sector.

Ethiopians living in abroad have built more than 200 luxury hotels in the country making it easier for the country to market itself as a upmarket tourist destination.

Tourism contributes about 4.5 percent of the country’s GDP and generates about a million jobs according to the World Bank.

Landlocked Ethiopia does not have any beaches to promote like the other two, but its cultural wealth like its 13th century underground churches of Lalibela, hewn from solid rock and the hill castles of Gondar are its big selling point.

It’s also grown more and more popular for travelers as it’s a safer and affordable destination.

The country has in recent years embarked on massive infrastructure spending that saw Africa’s first light train cutting though the sprawling city of Addis Ababa launched in September.

“What Ethiopia offers to tourists, different from Kenya and Tanzania, is history and culture,” Tony Hickey, an Irish tour operator who first arrived in Ethiopia in 1973, told the Daily Mail.
Sisi tuko busy na 'kiongozi mwenye hofu ya (MUNGU) KAAAZ KWEL KWEL
 
Waethiopia wapo vizuri sana,mimi sielewi sijui sisi wabongo tumerogwa? tunakila kitu lakini tunashindwa
 
Tunashindwaje hesabu ndogo kama hii, kiuza bidhaa buku inakaa wiki ila ukiuza 800 kila siku unauza 2 kwa wiki utakuwa na kiasi gani hata kama unapata kidogokidogo
Kitu nzuri sana hii katika biashara na ikitumiwa katika utalii tutapata pesa ya kutosha na tutavutia wageni wengi sana.
 
Ethiopia sio levels zetu tena.
Pamoja na kukumbwa na baa la njaa miaka ya 1990. Ila wameweza kujipanga vilivyo.
Miaka 20 ijayo, Ethiopia itakuwa katika viwango vya kina Singapore, Taiwani au Malaysia.
Tutaanza kujilaumu na kujiuliza tumekosea wapi.
Wacha tuwang'ang'anie kina Bill Gates wakati hatuna hata hivyo vivutio ni duni kulinganisha na standards zao. Achilia mbali miundombinu ya
karne tatu zilizopita.
Mkuu Ethiopia inaendeshwa na waethiopia wenyewe, kuanzia mfagiaji hotelini, mpaka pilot wa ndege zao..... na uchumi wao wameushika
wenyewe. ... ila sisi utasikia kuna watz wenye asili ya....... ndo walio shika uchumi... hawawez jenga hotel 200 hawa, hawawekezi kwa manufaa ya nchi na watz wenzao bali kwa pale watakapo nufaika tu.... watz wameanza pata vimtaji miaka
ya karibuni lakini Ethiopia ni miaka nenda rudi...
siasa zao pia sio za ubabishaji....
 
Wekta zote za kiuchumi, ili ufanikiwe, zinahitaji zaidi mbinu za kisasa, weledi na ubunifu, siyo nguvu. Utalii ili uweze kuwa na mvuto ni zaidi ya kuwa na simba wengi, mbuni, pundamilia, twiga na fisi wengi.

Tuna vivutio lakini hatuna mbinu. Tuna madokta kila idara lakini wasio na elimu inayoendana na vyeti vyao, hawa ndiyo wanaoua kila kitu.
 
Ethiopians wana akili sana,,,,

Ethiopia wanajitangaza vizuri katika ulimwengu...

TTB ya Tanzania wameghairi kwenda kwenye Maonyesho makubwa ya utalii - World Travel Market...

TTB hawatoi sababu...

Tanzania Kuna vivutio vingi ndio....Sasa watalii watajuaje? Akili ndogo sana....

VAT mkurupoko Mwendokasi..Kenya wameshatupin....

Mawaziri wa East Africa walijadili waintroduce VAT, Kenya wao wakafanya kinyume....

Eti tunataka watalii matajiri (kuna miundo mbinu ipi?)

Halafu bado kujitangaza hawataki......watalii matajiri waje wapi?

Rich tourist analipa VISA ghali kuliko Middle class tourist?

Rich tourist analipa park fee nyingi kuliko middle class tourist?

Siasa acheni jamani...

Propaganda acheni
 
tusisahau kuwa Ethiopia hakuna chama cha upinzani. wanaharakati haqana nafasi huko. waandishi was habari ole wako uandike vibaya kuhusu serikali.

serikali ya Ethiopia in zaidi ya Rwanda kwa dictatorship.
 
tusisahau kuwa Ethiopia hakuna chama cha upinzani. wanaharakati haqana nafasi huko. waandishi was habari ole wako uandike vibaya kuhusu serikali.

serikali ya Ethiopia in zaidi ya Rwanda kwa dictatorship.
Ndio ulichoona cha muhimu hicho. Ili upigie msumari kuwa nchi zenye multparty zipo nyuma kimaendeleo
 
Mkuu Ethiopia inaendeshwa na waethiopia wenyewe, kuanzia mfagiaji hotelini, mpaka pilot wa ndege zao..... na uchumi wao wameushika
wenyewe. ... ila sisi utasikia kuna watz wenye asili ya....... ndo walio shika uchumi... hawawez jenga hotel 200 hawa, hawawekezi kwa manufaa ya nchi na watz wenzao bali kwa pale watakapo nufaika tu.... watz wameanza pata vimtaji miaka
ya karibuni lakini Ethiopia ni miaka nenda rudi...
siasa zao pia sio za ubabishaji....

Serikali hii imejificha kwenye kichaka cha wawekezaji wakidhani ndio njia ya kutoka.
Sijui tumelogwa na nani ??
 
Wacha Ethiopia waendelee mbele Matrain ya Umeme na Tourism

Numbers and Mathematics

example, 10 tourists climbing kilimanjaro pay park fee of 700 $ x 10 people = 7000 $ (assume 6 days Marangu)

Add VAT 18% = 126 $ (each)

8 tourists refuse to pay VAT and Go to South Africa or Ethiopia or Kenya = Sp you get only 700 x 2 people

So you loose 700 x 8 tourists = 5600

For reasons of 126 VAT x 8 (1008 $), you loose 5600 $

Hata kama wakikacha kuja watalii watano bado umepoteza 700 x 5 minus 126 x 5

------No more argument....Time will tell

Kwa wanaojua Hesabu...naomba munisahihishe......

Sitaki kelele za Propaganda, bring facts

Serikali ikifanya vizuri tuipongeze....pia serikali ikikosea tusahihishe......Tukiwa vipofu,,,,, tutaingia shimoni wote, tutazama wote jahazi likizama......Bei za vitu madukani hazina vyama wala dini wala rangi.......ajira hazina ukabila wala vyama....
 
Huko hawalipi vat? Nauliza tu.

TATIZO ni kulipa VAT?

Watu wengi wana comment na hawajui tatizo liko wapi?

Tatizo ni kuingiza VAT wakati watalii walishalipia safari zao za kuanzia July had December. Watalii wanalipia miezi 3 mpaka 6 kabla.

Hakuna mtu anapinga VAT kwenye tourism.

Wadau wanasema VAT iahirishwe ianze angalau January 2017 au July 2017.

Watu wana comment kwa mihemko Mwendokasi...hawahui tatizo ni nini

Ethiopia walishajitangaza sana kupita Tanzania, hata ukiangalia number of tourism na revenue ni mara 10 ya Tanzania....

Sasa Ethiopian wana vivutio kuliko Tanzania? hapana...

Marketing, Marketing
 
VAT Mwendo kasi

Watanzania ni watu wenye bahati mbaya sana maana mara nyingi wanaaminishwa kuwa wao ni bora katika kila kitu. Wengi wao, kwa ujinga tu, nao wameyabeba maneno hayo na kuyaweka katika vichwa vyao.

1.Wapo Watanzania wanaoaminishwa kuwa Tanzania ina dhahabu nyingi kuliko nchi yoyote Duniani, ambao ni uwongo, lakini wao wanaamini

2. Wapo Watanzania wanaoamini kuwa Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi na mazingira mazuri ya utalii ambayo hayapo mahali pengine popote Duniani, ambao ni uwongo mkubwa.

Takwimu za mwaka 2014 kuhusu utalii wa kimataifa (International tourist arrivals) inaonesha kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi 10 za juu katika kutembelewa na watalii. Hii inaonesha kuwa watalii hawa wa kizungu wanapendelea zaidi kwenda kwenye mabara mengine kuliko Afrika.

In 2014, there were 1.133 billion international tourist arrivals worldwide, with a growth of 4.3% as compared to 1.087 billion in 2013.[1] The top 10 international tourism destinations in 2014 were

1. France Europe 83.7 million
2. United States North America 74.8 million
3. Spain Europe 65.0 million
4. China Asia 55.6 million
5. Italy Europe 48.6 million
6. Turkey Europe 39.8 million
7. Germany Europe 33.0 million
8. United Kingdom Europe 32.6
9. Russia Europe 29.8 million
10. Mexico North America 29.1

Katika Afrika, Tanzania haipo hata katika 10 bora

In 2014, there were over 55.7 million international tourist arrivals to Africa, the top ten African destinations were
1. Morocco 10.2 million
2. Egypt 9.6 million
3. South Africa 9.5 million
4. Tunisia 6.0 million
5. Algeria — 2.7 million
6. Mozambique — 1.8 million
7. Zimbabwe 1.8 million
8. Kenya — 1.4 million
9. Uganda — 1.2 million
10. Namibia — 1.1 million

Jamani, hata Uganda inatuzidi....Tobaa

Na hii VAT Mwendokasi...basi Tanzania inapotea

Jambo la kusikitisha ni kwamba, nchi inayoongoza kwa kutembelewa na watalii wageni katika Afrika ambayo ni Morocco, idadi ya watalii inaowapokea ni chini ya watalii wanaotembelea nchi ya mwisho ya 10 bora ya Ulaya.

In 2014, there were over 582 million international tourist arrivals to Europe, an increase of 3.0% over 2013. In 2014, the top ten destinations were

1. France 83.7 million
2. Spain 65.0 million
3. Italy 48.6 million
4. Turkey 39.8 million
5. Germany 33.0 million
6. United Kingdom 32.6 million
7. Russia 29.8 million 28.4
8. Austria 25.2 million
9. Greece 22.0 million
10. Poland 16.0 million

Ukija kwenye mapato ya utalii, Tanzania na Afrika si lolote na si chochote. Idadi kubwa ya watalii inawianika kwa kiwango kikubwa na mapato ya utalii. Hayo maneno ya kusema kuwa unaweza kuwa na watalii wachache halafu mapato yakawa makubwa ni ndoto za alinacha zinazootwa na maprofesa wa Tanzania pekee.

International tourism receipts grew to US$1,245 billion in 2014, corresponding to an increase in real terms of 3.7% from 2013.[11] The World Tourism Organization reports the following countries as the top ten tourism earners for the year 2014, with the United States by far the top earner.
1
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States North America $177.2 billion
2
23px-Flag_of_Spain.svg.png
Spain Europe $65.2 billion
3
23px-Flag_of_the_People%27s_Republic_of_China.svg.png
China Asia $56.9 billion
4
23px-Flag_of_France.svg.png
France Europe $55.4 billion
5
23px-Flag_of_Macau.svg.png
Macau Asia $50.8 billion
6
23px-Flag_of_Italy.svg.png
Italy Europe $45.5 billion
7
23px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png
United Kingdom Europe $45.3 billion
8
23px-Flag_of_Germany.svg.png
Germany Europe $43.3 billion
9
23px-Flag_of_Thailand.svg.png
Thailand Asia $38.4 billion
10
23px-Flag_of_Hong_Kong.svg.png
Hong Kong Asia $38.4 billion

Kwa mapato ya utalii wa kimataifa katika Afrika, nchi inayoongoza ni Afrika Kusini ($9.4 billion) ikifuatiwa na Misri ($7.2 billion), Morrocco ($7.1 billion) na Tunisia ($2.3 bilion). Kwa ujumla yule anayeongoza kwa mapato ya utalii katika Afrika hayupo katika 10 bora za Dunia, na ni chini ya mapato ya nchi ya mwisho ya 10 bora katika mabara mengine.

Mapato ya utalii ya Tanzania kwa mwaka 2014 yalikuwa $1.95 billion, chini kuliko mapato ya Singapore ($19.20 billion), Turkey ($37.37 billion), Qatar (10.58 billion) au Misri ($7.21 billion). Singapore, Turkey, Qatar na Misri hawana twiga wala tembo lakini wanatuzidi kwa idadi ya watalii na kimapato mara dufu.

Profesa Maghembe, Rais wetu na Watanzania, wanatakiwa kufahamu kuwa vivutio vya utalii ni zaidi ya idadi ya tembo, fisi, twiga, pundamilia na ngiri tulio nao. Utalii mkubwa ni akili, yaani unaweza kufanya nini kwa kutegemea mazingira yako ili watu wa mataifa mengine waje kushuhudia na kustarehe katika mazingira yako.

Watanzania, kwa ujinga wetu, tunaamini kuwa kwa sababu tu tuna nyumbu wengi, twiga na tembo basi watu wengi, Dunia nzima wanahangaika ili waje watazame sura ya twiga. Watalii hawana haja na sura ya pundamilia wala mbwa mwitu bali wanataka kuona mazingira ya kuvutia yaliyo tofauti na mahali pengine, na sisi tunaweza kuwatumia wanyama hao kuweza kuyafanya mazingira yetu kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Misri ambako mapiramidi na chuo kikuu cha kwanza cha Alexandria, vimetosha kuizidi Tanzania kimapato.

Ushauri wangu kwa Rais, fukuza kazi prof. Maghembe maana amekupotosha kwa kueleza kuwa hakuna uhusiano wa mapato katika utalii na idadi ya watalii. Waziri unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye ataihakikishia Tanzania inapata ongezeko kubwa la watalii na siyo upungufu wa watalii. Bila ya kujali kama ongezeko la idadi ya utalii na mapato ya utalii vitategemea kupungua kwa kodi au kuondoa baadhi ya kodi, au kuongeza mbinu za kujitangaza au kuboresha miundombinu na huduma za kitalii, ukweli ni kwamba tunahitaji ongezeko la idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii ambavyo vinaenda sambamba hata kama siyo kwa uwiano 1:1

Rais Magufuli hatutakuelewa kama pamoja na vyote tulivyo navyo, lakini mapato ya utalii yataendelea kuwa chini kuliko ya Afrika Kusini, Misri, Morocco, Tunisia na Kenya, huku wewe mwenyewe ukisema tuna vivutio vingi vya utalii. Tuna vivutio vya utalii visivyovutia watalii.

Mheshimiwa Rais, hotuba zako za mara kwa mara za kuelezwa nchi hii imeibiwa sana tumekwishazisikia kiasi cha kutosha, sasa tunahitaji kusikia kutoka kwako juu ya mbinu za kuongeza mapato ya utalii (siyo kodi za utalii bali mapato), mbinu za kuongeza mauzo ya mazao yetu nje ya nchi, mkakati wa kujenga uchumi wa viwanda, na namna rasilimali nyingine kama gas na madini zinavyoweza kubadilishwa kuwa mapato ya wananchi na Taifa. Mheshimiwa Rais tunataka mbinu na mikakati ya kuongeza mapato ya Watanzania.

Sisi wengine daima tutazidi kueleza pale tunapoona mbinu siyo sahihi. Tunaamini una dhamira njema lakini tuna mashaka makubwa katika mbinu.

Binadamu tuna miaka michache Duniani, hatuna muda wa kufanya majaribio bali tunatakiwa kuenenda kwa namna na mbinu zilizosahihi katika kuibadilisha nchi hii iliyo maskini kupindukia lakini iliyo na fursa nyingi zilizofunikwa. Fursa ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kitalii ni kubwa sana lakini hatuna watu wa kuweza kufungua fursa hizo ili jamii iweze kuziona kwa sababu waliopewa mamlaka ya kuzifunua kwa umma wanafanya kila mbinu ya kuzifunika ili wananchi wasizione na wala wasizifaidi.
 
Back
Top Bottom