Ethiopia’s Tourism Revenue Hits Record High In 2015, Beats Kenya And Tanzania Combined

Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
5,902
Likes
4,786
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
5,902 4,786 280
Ethiopia’s tourism revenue jumped 20.7 percent in 2015 to a record high of $3.5 billion from $2.9 billion in the previous fiscal year lifted by increased number of foreign tourists visiting the East African nation, data from the Ministry of Culture and Tourism showed.

The country’s revenue was more than what it more tourist established neighbors, Kenya and Tanzania, earned last year combined. The two east African neighbors cumulatively earned $2.77 billion.

Kenya’s revenue from its tourism sector dropped about 3 percent in 2015 to $837 million as visitors numbers continued a four year drop due to increased insecurity caused by frequent al Shabaab militants attacks, Reuters reported.

In Tanzania, a reduction in number of visitors last year also saw a fall in foreign exchange earnings from tourism to $1.93 billion, from $2 billion in 2014, The Exchange reported.

The number of visitors to Ethiopia increased by 136,000 to 910,000 in 2015, an estimated 88,000 foreign tourists per month, as the country hosted a number of high profile international business conferences and exhibitions, Ethiosport reported.

Ethiopia, home to nine UNESCO World Heritage sites, wants to become one of the top five tourist destination in Africa by tripling the number of foreign tourists visiting the country to 2.5 million in 2020.

This will make tourism making the leading sector in one of Africa’s fastest growing economies. It had targeted to raise $3.5 billion from the sector this fiscal year.

On average visitors to the country have rose by 12 percent annually over the last decade as the country economic growth picked up and the government introduced incentives to attract investors into the sector.

Ethiopians living in abroad have built more than 200 luxury hotels in the country making it easier for the country to market itself as a upmarket tourist destination.

Tourism contributes about 4.5 percent of the country’s GDP and generates about a million jobs according to the World Bank.

Landlocked Ethiopia does not have any beaches to promote like the other two, but its cultural wealth like its 13th century underground churches of Lalibela, hewn from solid rock and the hill castles of Gondar are its big selling point.

It’s also grown more and more popular for travelers as it’s a safer and affordable destination.

The country has in recent years embarked on massive infrastructure spending that saw Africa’s first light train cutting though the sprawling city of Addis Ababa launched in September.

“What Ethiopia offers to tourists, different from Kenya and Tanzania, is history and culture,” Tony Hickey, an Irish tour operator who first arrived in Ethiopia in 1973, told the Daily Mail.
 
Attachments:

Mtini

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
1,026
Likes
1,023
Points
280
Mtini

Mtini

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
1,026 1,023 280

Sisi tumerogwa nini?
 
mwanawao

mwanawao

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
2,071
Likes
1,848
Points
280
mwanawao

mwanawao

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2010
2,071 1,848 280
Acha tung'ang'anie tycoons, tutaisoma number vizuri. Maana hao wazungu wao ni wajinga hawajui kubudget hela yao. Sasa hv wataishia Ethiopia, Kenya. Kuna nchi kama namibia ipo so cheap na wana wanyama wote tulio nao.

Acha tusubiri akina bilgate na warren waje watembee serengeti, si tuna maakili sana, tutakusanya mabilioni yao. Le akili kubwaz;)

Nahisi tumelogwa siyo bure..
 
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
5,882
Likes
2,656
Points
280
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
5,882 2,656 280
Inashangaza maana ukiondoa shirika la ndege la Ethiopia hamna kingine chochote ambacho ningetarajia kuvuta watu Ethiopia na sio Kenya au Tanzania. tuna haja ya kuingalia vizuri hii sekta ya utalii.
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
2,830
Likes
2,321
Points
280
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
2,830 2,321 280
bahati mbaya kwa Ethiopia wananchi wao wanakimbia njaa!! two month ago, waethiplopia million 10 walikumbwa na njaa
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
14,525
Likes
4,345
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
14,525 4,345 280
....

....Tukubali matokeo ...mchuma janga
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
13,768
Likes
11,207
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
13,768 11,207 280
bahati mbaya kwa Ethiopia wananchi wao wanakimbia njaa!! two month ago, waethiplopia million 10 walikumbwa na njaa
USIJE UKASHANGAA NA WATANZANIA WAKAANZA KUKIMBIA VAT!!
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
14,525
Likes
4,345
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
14,525 4,345 280
....

...sa
Tunashindwaje hesabu ndogo kama hii, kiuza bidhaa buku inakaa wiki ila ukiuza 800 kila siku unauza 2 kwa wiki utakuwa na kiasi gani hata kama unapata kidogokidogo
...
....salute .....nimelazimika kupeleka wageni Namibia ...
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
44,929
Likes
12,897
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
44,929 12,897 280
Ethiopia sio levels zetu tena.
Pamoja na kukumbwa na baa la njaa miaka ya 1990. Ila wameweza kujipanga vilivyo.
Miaka 20 ijayo, Ethiopia itakuwa katika viwango vya kina Singapore, Taiwani au Malaysia.
Tutaanza kujilaumu na kujiuliza tumekosea wapi.
Wacha tuwang'ang'anie kina Bill Gates wakati hatuna hata hivyo vivutio ni duni kulinganisha na standards zao. Achilia mbali miundombinu ya karne tatu zilizopita.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
44,929
Likes
12,897
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
44,929 12,897 280
Sisi kila siku tupo bize na Mlima Kilimanjaro, Serengeti na Ngorongoro. Kidogo na Zanzibar.
Vivutio vingine vinafanya kazi chini ya viwango.
 
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
2,602
Likes
51
Points
145
TOWNSEND

TOWNSEND

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
2,602 51 145
Habari za Manama kama hizi hutawawona wazee wa lumumba ....inauuma sana
Siku hizi hat a Yale magofu ya bagamoyo siyasikiii tena
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,339
Likes
6,783
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,339 6,783 280
Ha ha ha.. Sisimizi kamshika kalio tembo, tutasubiri sana.... Na hiz kodi zetu za mwendokasi...
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
24,873
Likes
22,649
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
24,873 22,649 280
Watanzania mniombee
 
Van persie

Van persie

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,019
Likes
330
Points
180
Age
30
Van persie

Van persie

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,019 330 180
Katika nchi ambazo naziona mbali Afrika,ni Ethiopia pamoja na Rwanda.In 20 to 30 years,people of other parts of the continent will be salivating over the tremendous level of development in these two countries.The way tunavyofurahi na kuenjoy maendeleo ya South Africa.Nafikiri hivyo hivyo ndivyo tutakavyozizungumzia hizi nchi mbili.

Kila wakati nimekuwa naitolea mfano Ethiopia na Rwanda,kuhusu utayari na udhati wakuthubutu.Zenawi na Kagame ni viongozi wanaonivutua katika uongozi wao,japo mmoja ametangulia mbele ya haki,lakini alama aliyoiacha na misingi aliyoijenga inaonesha matunda yaliyodhahiri.

Ni viongozi wa haiba yake.Nafurahi Magu anavyojaribu kujifunza kutoka kwao.Lakini kuna kitu kidogo tu,ambacho kinamtofautisha Magu na hao jamaa.Tofauti yake(JPM),Kagame na hayati Zenawi ni wasikivu na watu wanaozingatia ushauri wa kitaaluma kutoka kwa wataalamu na hata watu wa kawida.Lakini JPM amekuwa mjuaji mno.Mtu anayeamini mawazo yake ndio sahihi ata kama ni ya ovyo.Mtu ambaye ni kama anataka kulikomoa kundi fulani ndani ya jamii and etc

Nchi kama mkoa wa Kagera(Rwanda)ina shirika la ndege linalokwenda sehemu kubwa ya Africa na uarabuni.Ethiopia haina hata kivutio kikubwa cha utalii,lakini inatuzidi revenue from tourism.Bongo kweli pasua kichwa.
 
Gut

Gut

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Messages
2,744
Likes
3,023
Points
280
Gut

Gut

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2016
2,744 3,023 280
Tutawaomba Rwanda watusaidie.Mniombee
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,430
Likes
3,108
Points
280
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,430 3,108 280
Inashangaza maana ukiondoa shirika la ndege la Ethiopia hamna kingine chochote ambacho ningetarajia kuvuta watu Ethiopia na sio Kenya au Tanzania. tuna haja ya kuingalia vizuri hii sekta ya utalii.
Utalii si kuwa na wanyamapori au fukwe za bahari zenye mchanga mweupe pekee yake, kuna nchini nyingi hupata watalii wengi zaidi kwa kukuza vivutio vingine. Kwa Tanzania tunaweza kuongezea vivutio vingine pamoja na hizo mbuga za za wanyama.

Mfano, Ethiopia inajivunia kuwa na vivutio vya kiutamaduni zaidi kama magofu, makanisa/ mahekalu , mvinyo wa wa asili ya Ethiopia, chakula cha asili chenye ladha /muonekano wa kukutoa mate, Jah Haile Sellasie the King , Queen Sheba n.k bila kusahau hivyo vikao/ mikutano ya kimataifa.

Sisi pia tungeongeza vivutio mbali ya wanyamapori na fukwe safi, kuna magofu huko Kilwa, Mafia n.k Zanzibar hili wameweza kuongeza utalii wa kihistoria wa mji-mkongwe, Freddy Mercury , utumwa, Kasri za Sultani n.k

Tanganyika kuna mengi ya kuongeza kama utalii wa baharini, Olduvai, miji ya kikoloni mikongwe ya Kijerumani/ Kiingereza kama ya Lushoto, Lindi , Pangani, Mikindani , treni ya reli ya kati kazi ya mkoloni, TAZARA urafiki na China, Muziki wa kweli live wa dansi, utaliii wakati wa baridi nyanda za juu Kitulo, miinuko ya Livingstone, Maeneo ya kina John Wayne mbuga ya Arusha ilpopigwa sinema ya "Hatari" n.k listi ya more potential tourist attraction ni kubwa sema tumekazani hoteli za ufukweni na mbuga za wanyama tu.
 
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
5,882
Likes
2,656
Points
280
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
5,882 2,656 280
Utalii si kuwa na wanyamapori au fukwe za bahari zenye mchanga mweupe.

Ethiopia inajivunia kuwa na vivutio vya kiutamaduni kama magofu, makanisa/ mahekalu , mvinyo wa wa asili ya Ethiopia, chakula cha asili chenye ladha /muonekano wa kukutoa mate, Jah Haile Sellasie the King n.k bila kusahau hivyo vikao/ mikutano ya kimataifa.

Sisi pia tungeongeza vivutio mbali ya wanyamapori na fukwe safi, kuna magofu huko Kilwa, Mafia n.k Zanzibar hili wameweza kuongeza utalii wa kihistoria wa mji-mkongwe, Freddy Mercury , utumwa, Kasri za Sultani n.k

Tanganyika kuna mengi ya kuongeza kama utalii wa baharini, Olduvai, miji ya kikoloni mikongwe ya Kijerumani/ Kiingereza kama ya Lushoto, Lindi , Pangani, Mikindani , treni ya reli ya kati kazi ya mkoloni, TAZARA urafiki na China, Muziki wa kweli live wa dansi, utaliii wakati wa baridi nyanda za juu Kitulo, miinuko ya Livingstone, Maeneo ya kina John Wayne mbuga ya Arusha ilpopigwa sinema ya "Hatari" n.k listi ya more potential tourist attraction ni kubwa sema tumekazani hoteli za ufukweni na mbuga za wanyama tu.
Unalosema ni sahihi mkuu lakini pia nafikiri bado tuna haja ya kujifunza kwao pia ni namna gani tunaweza vuna zaidi kutokana na hii mali asili ya utalii tuliyonayo ambayo tukiilinda itaendelea kuwepo vizazi na vizazi
 
Forum statistics

Threads 1,238,846
Members 476,196
Posts 29,333,843