Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Mbona nimemwona juzi anashuka ndege akirejea Addis?
Mkuu juzi hio hio kuna mahala alipigwa picha kwa madai kenda kutibiwa, ikaripotiwa yeye kukataa kwa hio habari kwa madai kuwa kaenda kutembea. Habari za afya na alipo pamoja na afya ya Zenawi ni za wasi wasi, yani sio za hakika sana.
Mjengwa blog imeandika Meles Zanawi amefariki dunia leo.
mjengwa blog imeandika meles zanawi amefariki dunia leo.