Ethiopia: “We don’t need aid, we need investments”

Ndoto za mchana upinzani sikuzote is there to challenge u guys and it will always do na ndo mana mnawagwaya .Mlishabembelezwa sana almost 50yrs na maendeleo ni ndoto so unadhani hii miaka kumi ya mbwembwe kuna kipwa.Endeleeni kuota mchana.
Of course we need challenges, but constructive challenges, na siyo ujinga wa akina Mwanahabari Huru wa kukaa na kutunga uongo kila siku
 
Ndoto za mchana upinzani sikuzote is there to challenge u guys and it will always do na ndo mana mnawagwaya .Mlishabembelezwa sana almost 50yrs na maendeleo ni ndoto so unadhani hii miaka kumi ya mbwembwe kuna kipwa.Endeleeni kuota mchana.
Ahsante kwa kunisaidia Clara, hawa watu wa chama dola wanajiona kama Miungu watu kila kitu wanajua wao hawataki kurekebishwa upinzani upo kwa ajili ya kutoa mawazo yao binafsi kuisaidia serikali lkn wao wanaona km wanakosolewa na kuzarauliwa.
 
Abuu Said tatizo siyo ubabe. Hivi wewe ulishawahi kuishi na watu wanaokudharau kwa sababu wao wanajiona ndiyo kila kitu? Hali ya sasa ndivyo ilivyo. Na siasa za hivyo zimeasisiwa na chama mfu chadema. Walimdharau sana Mh. JK. Walimtukana na kumdharirisha kwa kila namna, na wao chama mfu walijiona ndiyo wana haki pekee ya kuongoza hii nchi. Kibaya zaidi walisambaza unafiki na uongo kwa sehemu kubwa ya watanzania. Sasa vita iko kwa Mh. Magufuli. watu wa ile kanda (wale wa chadema) wanamuona msukuma Mh Magufuli hafai kuwa rais. Wale wa ile kanda (wale wa chadema) wanaona fursa za kuiba zimebanwa kila kona. Wanamtukana rais kila kukicha, kila jambo analolifanya kwao ni matusi na kejeli. Kwa ufupi hata ningekuwa mimi rais ningewatukana tu na lazima ningewatia adabu! Na bahati yao hawakuandamana Septemba mosi maana hapo ndipo wangetambua rais ni nani.

Mbona umejaza mambo mabaya sana kichwani?? Inaonekana hizi siasa unazichukulia personal sana.

Maisha siyo magumu kihivyo ndio maana unakuta Magufuli kamkaushia tu Lissu
 
Tembelea moshi ndiyo utajua wanavyolishana sumu za chama mfu chadema. Hivi wewe unajua chama mfu kupitia nyeupe na dj wanasambaza uongo kuwa yule mwizi wa dk wa hela kibao eti ni fitina za kisiasa pamoja na ushahidi uliopo. Sasa watu kama hao wewe unawachukuliaje?? Kwa ufupi lazima upinzani uangamizwe kwa njia yeyote ile ili nchi ipige hatua ya maendeleo.
 
The most important thing is to find best solutions to our real problems, mambo mengine ni mbwembwe tu. Don't be so much into politics, they are mostly lies
 
Siasa ni maisha, bila kuwaadabisha wapinzani hakuna maendeleo
 
Ndoto za mchana upinzani sikuzote is there to challenge u guys and it will always do na ndo mana mnawagwaya .Mlishabembelezwa sana almost 50yrs na maendeleo ni ndoto so unadhani hii miaka kumi ya mbwembwe kuna kipwa.Endeleeni kuota mchana.
we mwanamke usubiri tu kuwezeshwa humu si mahala pako
 
Siasa ni maisha, bila kuwaadabisha wapinzani hakuna maendeleo

I beg to differ, ukifungua hapo kiwanda cha kuprocess mazao ya wakulima hutasikia kitu kinaitwa upinzani, wote watakifurahia. Hizo ndio zinaitwa solutions

Uliona jana mbunge wa moshi mjini ameenda kwenye kiwanda fulani kilijifia wanataka wakifufue, yote aliyopendekeza yanategemea serikali %100. Ninachosema ni kwamba, kelele za upinzani zitazimika zenyewe tukifocus kwenye vitu vinavyo matter. Unapowajibu unawapa kiki ya kuendelea
 
Pointi noted! Ila lazima tuwapashe maana nao ni waropokaji maana uongo ukiachwa kwa muda mrefu hugeuka kuwa ukweli
 
Back
Top Bottom