Ethiopia wazidi kuchanja mbuga

Ethiopia wazidi kuchanja mbuga

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Pamoja na shida na matatizo yoote wanayo kabiliana nayo wananchi wa Ethiopia lkn bado wanaongoza kwa kuwa na shirika la ndege kubwa na lenye uwezo mkubwa
1477681646397.jpg
 
Hao wenzetu hawanaga mahela... Wananunuaga tundege kwa mkopo wenye masharti kadhaa yenye unafuu.
Sisi tunawaonesha kuwa tuna uwezo wa kununua cash bila kujali chochote...

Yewiiii bagosha ila msema kweli mpenzi wa mungu... madege yao yanakuwaga mazuri..
Sijuhi sisi tulilizwaga tena..??
 
Hapa kwetu ilani ya chama ndio inayoongoza nchi, labda wenzetu wana malengo na mipango kama taifa bila kujali vyama, na sio sera za kwenye kampeni za chaguzi.
 
bombadia na boeing787=dcm na mwendokasi hopeful there is a master plan behind this..
 
Hao wenzetu hawanaga mahela... Wananunuaga tundege kwa mkopo wenye masharti kadhaa yenye unafuu.
Sisi tunawaonesha kuwa tuna uwezo wa kununua cash bila kujali chochote...

Yewiiii bagosha ila msema kweli mpenzi wa mungu... madege yao yanakuwaga mazuri..
Sijuhi sisi tulilizwaga tena..??
Mkuu hujui kuwa mkopo ndio biashara?
 
Hizo ndege mbona zipo siku nyingi sana. Ethiopian airline. Niliwahi kuipanda 2012
Duuu kama ni 2012 wanazo sasa sisi mbona hatukununua angalau tuwili kama hivyo?
 
Hizo zipo toka zamani toka 2012 manaanke mpya walizochukua 2013 ni dreamliners so kwenye Aviation kwa Upande wavEastern Africa Ethiopia wako vizuri wanaoelekana sana na Kenya coz Kenya Airways nao wamefanya purchase ya dreamliners mwaka jana
 
Sisi si tuna zetu mbili tumenunua cash hao wanakopeshwa.
Ha haa haaa mkuuu, sisi vibopa, ndege mbili kwa pamoja keshi..... Halafu ujue fedha ya kununua zingine mbili ipo.

Japo msd haina dawa, wanafunzi wanaotakiwa kukopeshwa wapo wanapiga miayo, watumishi wa umma hawapandishwi madaraja wala increament....

Tz
 
Hizo zipo toka zamani toka 2012 manaanke mpya walizochukua 2013 ni dreamliners so kwenye Aviation kwa Upande wavEastern Africa Ethiopia wako vizuri wanaoelekana sana na Kenya coz Kenya Airways nao wamefanya purchase ya dreamliners mwaka jana
Kenya na Ethiopia wamesha tuwacha mbali sana na sasa Rwanda wanakuja speed kali
 
Ha haa haaa mkuuu, sisi vibopa, ndege mbili kwa pamoja keshi..... Halafu ujue fedha ya kununua zingine mbili ipo.

Japo msd haina dawa, wanafunzi wanaotakiwa kukopeshwa wapo wanapiga miayo, watumishi wa umma hawapandishwi madaraja wala increament....

Tz
Sisi tuna pesa nyingi ndio maana tunataka kuwapiga overtake vinchi masikini
 
Back
Top Bottom