Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Safi sana......Sisi tuna pesa nyingi ndio maana tunataka kuwapiga overtake vinchi masikini
Safi sana......Sisi tuna pesa nyingi ndio maana tunataka kuwapiga overtake vinchi masikini
Cc:NshonziHao wenzetu hawanaga mahela... Wananunuaga tundege kwa mkopo wenye masharti kadhaa yenye unafuu.
Sisi tunawaonesha kuwa tuna uwezo wa kununua cash bila kujali chochote...
Yewiiii bagosha ila msema kweli mpenzi wa mungu... madege yao yanakuwaga mazuri..
Sijuhi sisi tulilizwaga tena..??