Ethiopia: Upinzani wataka Viongozi wao kuachiwa huru, wasema ni vigumu kujiandaa na Uchaguzi bila wao

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo, OFC kimetaka Viongozi wake kuachiwa huru kikisema itakuwa ngumu kujiandaa na Uchaguzi Mkuu bila wao.

OFC pia imetaka Ofisi zake zilizofungwa kufunguliwa na kuwepo uhuru wa kufanya kampeni nchi nzima kabla ya mchakato wa upigaji kura.

Viongozi wakuu wa Chama hicho walikamatwa Julai mwaka huu kufuatia vurugu zilizotokea baada ya kifo cha Mwanamuziki na Mwanaharakati maarufu, Hachalu Hundessa.

Uchaguzi Mkuu wa Ethiopia ulipangwa kufanyika Agosti lakini uliahirishwa hadi mwakani na tarehe rasmi bado haijatangazwa.

=====

Ethiopia’s main opposition party, the Oromo Federalist Congress (OFC), has called for the release of its jailed leaders, saying it was difficult to prepare for elections without them.

In a statement, the party also demanded its closed offices be opened and for the right to freely campaign across the country before the elections.

The general election had been planned for August but was postponed to next year but a date has not been announced.

The OFC said those in prison include potential candidates, organisers and election observers.

Senior party leaders including its vice-chairperson Bekele Gerba and prominent member Jawar Mohammed were arrested in July following violence that rocked the country after the killing of Hachalu Hundessa, a popular singer and activist.

They are now facing terrorism charges.

Last week Prime Minister Abiy Ahmed met and discussed plans for the election with opposition and civic society leaders.

He re-affirmed his government’s commitment to free and fair elections.
 
Back
Top Bottom