Et she/he not my type!!!!! ucweweseke tafta ulipokosea

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,393
Reaction score
1,734
Ok Ok Ok !!!!!

Nipo hapa kwasababu nakosea na kurekebishika, pia huwa naweza kuchambua na kujua udhaif wangu hii hunisaidia kukubliana na changamoto fulan katka maisha!!

Ok bak to topic ma friend!
Kwenye mapenz kumekuwa kunatokea mikwaruzan baina yetu hvyo kupelekea mpaka kuachana pamoja na kwamba tulikuwa tumeazimia mengi siku za mbeleni, hii sio ajabu sana kwa anayejua mantiki nzima ya kwamba binadamu hatufanan. kwakujua hatfanan maana yake tunapotaka kuwa kwenye mapenz tunahtaji kujenga mfumo shirikishi ambao kila mmoja atakuwa ameuridhia!!! hivyo zile tofauti ambazo ni genetic kuweza kuztafutia suluhu!

Kwa bahati mbaya kuna muda inatokea kwa wapenz wanafikia mwisho wa kuvmiliana tofaut zao,hvyo kuamua kusitisha mahusiano ya kimapenzi! kwa kawaida huwa inauma kadri ya ulivyonogewa na penzi!

Lakini katika hali ya kushangaza unakuta me/ke anapokuwa ameachana na mwenz wake anasema kwamb he/she not my type?, kiukwel hapa unakuwa unajitekenya maana tumewah kukusikia ukiapa kwamba utakufa nae.

Ninashauri wapenz mkiachana tuache vijembe vya namna hii, lakin tukae tufikrie kwa kina chanzo cha mgogoro na kupelekea kuachana!

Nadhani huu utakuwa muda mwafaka kwako,kutorudia makosa,na badal a yake utajifunza namna ya kupata mpenzi mwema kadri ya sifa uzpendazo wew!

Pia mapenz sio uadua muishi kwa kuheshmiana hata kam mmeachana!!!

Jioni Njema
 
^^
Dedication kwa wanaotafuta wenza wakamilifu kwa kila idara.
Tusiotaka makuu,ngoja tusaini na kuondoka.
^^
 
Sio kijembe ITS THE TRUTH!!!!!!!!!!! BODY AND SOUL CHEMISTRY NEHI NEHI NEHI BABU G! Chungu lakini dawa!
 
ukamumilifu ni muungano wa wapenzi,so kama hautaweza kutengeneza mawazo unganifu kati yenu hukutakuwa na ukamilifu
 
Sio kijembe ITS THE TRUTH!!!!!!!!!!! BODY AND SOUL CHEMISTRY NEHI NEHI NEHI BABU G! Chungu lakini dawa!

So kipnd unanikubl huo ukwel ulikuwa wapi,!!!! hautakuwa seriouz akilni mwako kama utadhan huo n ukwel
 
teh teh, aah,ila somtym inaweza tokea ukabug men....ile dah hv nilifuata nn pale,huwa inatokea
 
Ok Ok Ok !!!!!

Nipo hapa kwasababu nakosea na kurekebishika, pia huwa naweza kuchambua na kujua udhaif wangu hii hunisaidia kukubliana na changamoto fulan katka maisha!!

Ok bak to topic ma friend!
Kwenye mapenz kumekuwa kunatokea mikwaruzan baina yetu hvyo kupelekea mpaka kuachana pamoja na kwamba tulikuwa tumeazimia mengi siku za mbeleni, hii sio ajabu sana kwa anayejua mantiki nzima ya kwamba binadamu hatufanan. kwakujua hatfanan maana yake tunapotaka kuwa kwenye mapenz tunahtaji kujenga mfumo shirikishi ambao kila mmoja atakuwa ameuridhia!!! hivyo zile tofauti ambazo ni genetic kuweza kuztafutia suluhu!

Kwa bahati mbaya kuna muda inatokea kwa wapenz wanafikia mwisho wa kuvmiliana tofaut zao,hvyo kuamua kusitisha mahusiano ya kimapenzi! kwa kawaida huwa inauma kadri ya ulivyonogewa na penzi!

Lakini katika hali ya kushangaza unakuta me/ke anapokuwa ameachana na mwenz wake anasema kwamb he/she not my type?, kiukwel hapa unakuwa unajitekenya maana tumewah kukusikia ukiapa kwamba utakufa nae.

Ninashauri wapenz mkiachana tuache vijembe vya namna hii, lakin tukae tufikrie kwa kina chanzo cha mgogoro na kupelekea kuachana!

Nadhani huu utakuwa muda mwafaka kwako,kutorudia makosa,na badal a yake utajifunza namna ya kupata mpenzi mwema kadri ya sifa uzpendazo wew!

Pia mapenz sio uadua muishi kwa kuheshmiana hata kam mmeachana!!!

Jioni Njema

Good!, I thank God sina tabia ya kumponda mtu tunapoachana, inarahisisha kuendelea kuwa marafiki, kusaidiana katika mambo mbalimbali na hata kusameheana na kurudiana later kirahisi
 
Pamoja na kubug maneno manen sio mazur show humanity to her/him kwasab anakujua ambko wengne hawakujui.... thanx
 
Good!, I thank God sina tabia ya kumponda mtu tunapoachana, inarahisisha kuendelea kuwa marafiki, kusaidiana katika mambo mbalimbali na hata kusameheana na kurudiana later kirahisi

inakuwa nzur sana maana mapenz sio uadui, na kuna uwezekan mkawa bdo mnapendana bt ilikuwa hasira so kama mliachana bila ya vijembe kila m1 anaweza kaa na kuona dah nimeachana na huyu bt bdo nahtaji kuwa naye!!!! so mkarud with helthier love
 
take five :A S thumbs_up: :A S thumbs_up: my mdogo hayo mambo yapo mengi sana tu na kwa hii thread leo, hope umekumbushia jambo fulani la muhimu.

Back
Top Bottom