Et she/he not my type!!!!! ucweweseke tafta ulipokosea

Ndg yangu Walas Ba maneno haya huwatoka wale ambao mara nyingi huwa wamempata mtu wa aina tofauti ambaye wao humuona bora zaidi kuliko yule waliyenaye. Hii ndo huwaletea kufikia hatua ya kuona chaguo lao la kwanza halikuwa sahihi. Wengi wanaotoa majibu ya aina hii huwa ni wepesi wa kudanganyika au watu wenye tama, ni mbaya sana ...
 
Human being is dynamic not static the one saying "i live u" will one day say "I hate u "and u have to be ready for betrayal
just like God and Satan in heaven
 
Ni kwel unaweza ukapata the best bt bdo hunasa7 yakumuona mwenzio hana la maana katka maisha just respect hata kama hajaona chamana kutoka kwake... cha msing ubinadam wake unakuwa palepale.
 
Human being is dynamic not static the one saying "i live u" will one day say "I hate u "and u have to be ready for betrayal
just like God and Satan in heaven

Sawa mkuu pamja na u dynamic wetu, bdo hukusabsh kumtus mwenzio na kuona hana maana. just reskt her/him na kumwekea utu wake,sio unaanza kusema mara hv mara vile nt fair!!!!!
 
types sahihi zisharest in peace cha msingi ni kulook foward
 
Back
Top Bottom