Esther Wassira

inasikiti watu wanaweza kukaa na kujadili kabila la mtu?sijapenda
 

Kichwa panzi unaandika mambo ya ukabila!mods futa hii upuuzi humu ndani pawe pasafi.
 
Wewe ni kichwa maji sana ukabila utakusaidia nin? Kwanza hueleweki mara esta wassira, mara esta matiko akili yako haina akili
 
Huyo Esther no mkurya name Ana kaka zake hapo Tarime wana biashara ya magali wanaitwa nyamseti Ana vidalala vya kwenda Musoma kutoka Tarime
 
@ wewe zamlock huyu esther matiko ni mkurya anatokea kata ya susuni wly ya tarime hao wakina nyamseti unaosema ni kaka zake sio kweli bali hao ni wajomba zake namanisha nyamseti na mama yake esther baba mmoja na mama mmoja huyu mp anatokea ktk koo ya wanchari
 
sasa unataka tuendeleze ubishi hapa...?
 
sasa wewe ndio unabisaha au masaluna?nafikiri kuna taarifa unatafuta nyoosha maneno na kwanza wassira sio mbunge na huyo mwingine ambae ni mbunge wa magamba na yeye ni gamba pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…