Rhobi1961
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 888
- 682
Mulisya...
murisya!
Mulisya...
Si kamati kuu@tycoon, kuna watu hawatambui mipaka ya kazi zao, nahisi wanahiden agenda like mahusiano yasiyofaa, iko day tutawaanika live
Ni kweli kuna mgogoro kati ya Esther na madiwani wake, chanzo ni mh mbunge kutaka kuweka mwkt wa halmashauri anaemtaka yeye, toka jana vikao vimekaa na wameshindwa kuelewana.
Kuna shinikizo toka makao makuu kumsuport esther na vitisho juu, but madiwani wamegoma wanataka waweke mtu watakaemchagua wao sio Esther.
Uchaguzi umeisha tunashukuru kura za madiwani zimeamua na Hamis Nyanswi ndie mwkt wa halmashauri ya Tarime mjini .,makamu wake ni Sauti.
Ndugu, nlichosema ni kuwa kama pana mgogoro ni vyema ukasuluhishwa kwa vikao vyetu vya chama kulikoni kuja kutangaza hapa jf....
naona umeguswa kunako ndo maana unabweka humu kama mbwa. mbona mabaya ya wapinzani wako yakipostiwa humu hushauri yakamalizwe kisirisiri?
Tamutebhya ighaa ulimulisya tatigha ubholongo.umulisya ono bhasachi..!!! mwambie apunguze uongo