Inabidi atuambia kama yuko serious kweli aseme. Kuna dada mmoja wanafanana naye kila kitu, kama yuko tayari kubadili msimamo mi nikutambulishe harafu wewe utaendelea.
kwani ulishindwa kumjulisha tu kuwa ni mke wa mtu hadi uweke maneno kibao kama umekulia uswahilini?
mkuu kumbe profesional ya ester ni mwalimu?alikufundisha wapi na dalasa la ngapi?
Kakufundisha wapi?
Mke wa mtu huyo. Utaliwa kiboga kushobokea vya watu
Asalaam walekhum wanajamvi!dah leo nimeamua kutoa dukuduku langu humu ili mnisaidie,sasa nimetokea kumpenda mbunge wa viti maalum cdm ester matiko,uyu binti jinsi anavoongea,alivo sura yake na umri wake umenifanya nichanganyikiwe vp member mnaweza kuni Pm namba yake walau mwanenu nikae au kuna mtu anataarifa zake au alisoma nae?
Mkuu nitakuwa nae next month hapa Dom wakati wa kikao cha bunge,nitampa taarifa,japo uwa si mtu wa utani sana anakawaida ya kutochonga sana? Ila ni kati wa wabunge makini sana wa CHADEMA na Lusinde wa CCM aliwai kumtokea akapigwa chini mbele yangu....

Aise! Kumbe huwa wanatongozana huko eh?
Usalama wa Taifainabidi nife kimya kimya tu vipi kwani mume wake anafanya kazi gani?
Usalama wa Taifa
Mume wa Esther anaitwa Prof Mkami nae ni Tarime line sasa ukimangamanga unakula panga shaaa..wanasihi maeneo ya Goba..
kwani ulishindwa kumjulisha tu kuwa ni mke wa mtu hadi uweke maneno kibao kama umekulia uswahilini?
Nakuomba ndg yangu, kuwa makini na hawa wanawake wazuri. Watakuua kwa presha. Achana nao!
Nakuomba ndg yangu, kuwa makini na hawa wanawake wazuri. Watakuua kwa presha. Achana nao!
mwenye busara anaanza kwa kuulizia status ndo atangaze nia, sasa kama unakurupuka kutangaza nia ukitegemea na status utailewa mbelembele ni hatari. so lazima aambiwe kwa msisitizo, au huko kwenu uzunguni ni kosa???
huyo wanaecheza nae ndo mume wake au dah mtoto anavonikosha uyu mungu ndo anayejua.
ntafanya ivo mkuu next time ila thankx kwa ushauri.