Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

kipuri

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
155
Reaction score
27
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;

Nawasilisha
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda
 
Ameandika urahisi, labda ni tofauti na urais
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

si amesema alienda kuwa-support vijana wenzake
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

hawa ni mashost wa muda mrefu tu
 
Watakoma bhana ot i knw nasubiria 2 hiyo video ili tujue ukweli.
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

Hujui mahusiano ya halima mdee na ester blaya! nikama 1+1= 1
 
Utakuwa mchina kama siyo mgiriki, namkumbuka mzungu mmoja alikuwa akichapia kwa free style yako Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…