masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,690
- 14,704
mkuu tumesema mchukueni tu na huko Bunda lazima Wassira atamkeketa tu!hata lowasa hakuwa na mpango wa kutoka ccm. bali dhuluma zikamkimbiza...
mkuu tumesema mchukueni tu na huko Bunda lazima Wassira atamkeketa tu!hata lowasa hakuwa na mpango wa kutoka ccm. bali dhuluma zikamkimbiza...
SIASA
'Unajua kuna tofauti ya utumishi na mtu kufikiri utumishi ni cheo wanaofikiri ubunge ni cheo ni wale ambao hawatimizi wajibu wao wanataka ubunge kutaka madaraka Fulani, mimi ni mtumishi naenda kuwatumikia wananchi mabosi wangu ni wananchi ukiwa unadhani ya kwamba ubunge ni cheo utavimba kichwa na utashindwa kutimiza wajibu wako, bunge bosi wake ni wananchi' – Ester Bulaya.
source; MillardAyo
Ngoja Na Mimi Nichungulie Makabrasha Yake Ya Maovu a.k.a Kashfa Niliyonayo Ili Ikiwezekana Jamii Nayo Ijue Upande Wa Pili Wa Shilingi.
Haya aone huko aliko kama atakuwa na uhuru wa mawazo kinyume na Mbowe tu let a lot mtazamo wa chama kama alivyokuwa mjeuri akiwa CCM na kama ata achiwa na akina nanilii wa JF (siku akijaribu ataitwa majina yote wazazi wasiopenda watoto wao kuyatamka).
Dr.Slaa tu sasa hivi wanamtukana kwa kusimamia principles za jitihada zao itakuwa yeye ndio keshakuwa msukule tena asahau tu kuhusu neno freedom of speech and free will.
huyu dada ni kweli alikwa na mtazamo huu chanya tangia awali, tumemshuhudia bungeni akiwa mwiba mkali kwa ccm. Huyu dada pamoja na deo filikunjombe, walifikiri ccm ingeweza kubadilika ikafanana na misingi yake waliyokuwa wakiiamini wao. Natumaini ya kuwa kwasasa ester bulaya atakuwa na uhuru zaidi wa kuwatumikia wananchi katika misingi ya haki na ukweli halisi. Binafsi namuunga mkono kwa kuhamia chadema, na bado namsihi mh. Deo filikunjombe ya kuwa atabaki mwenyewe kwenye hilo kundi la ndege wasio fanana na yeye.