Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Sir Expert, mi ni mtu ambae napenda ku-question na a realist. Kwenye swali lazima nipate jibu kama sio kwangu hata kwa mwingine ndipo mara nyingi uridhika. Hila haya mambo ya ku-explain without without deep analysis ujue hayatusaidii na wala hayatuendelezi as a nation wala kutupa solution ya matatizo yetu chungu mtele. Mimi ingawa simjui JM hila nina deep respect sana kwa huyu jamaa kutokana na umri wake, matendo, na achievement zake ambazo ni way above me as we speak: na we are almost equal age. To me somehow he is a role model kwa vijana ambao tuko west, its possible to hit that jackpot JM has proved. kwani huku hupewi bali unajitengenezea, na Mashaka ameonesha ya kuwa ni achiever. Na elimu ya bongo ingawa mimi nimeondoka long time, hila niliingia mpaka form two hapo bongo (Umbwe) na nilikutana na watu hapo ni noma kichwani. Sasa hapa si dharau akili za watanzania hila ni wakati wa kuleta changamoto na serikali iwaandae hawa watu vilivyo. Mimi ni average student almost, na kuna dada mmoja yupo Ujerumani nilikua namuandikia essays zake zingine na alikuwa tayari ana degree hapo mlimani. I was appalled na kazi zake alizokua ananitumia nizicheki na namjua si zezeta wa hivyo nilikua nae primary. Sasa ndio najiuliza wanajifunza nini huko, maana the idea of higher education is to prepare people well enough to understand their fields and be experts huko waendapo. Iwapo unakutana na mtu ambae ana degree alafu ajui ata ku-construct an argument lazima ujiulize how. Kwani asingekua kaletwa ulaya na wazazi wake, si angekua bongo hapo anafanya kazi ya maana na mnasema ana degree. Ukati ni kichwa chake ni kwa ajili ya purpose ya kukuza nywele tuu nothing was inn. Hii sasa inaonyesha elimu yetu aiwasaidii hivyo average students bali magenius tu. Na tunahitaji the whole society to be bright ili tupate changamoto za kweli. Hivi unafikiri kwenye wasomi Lowassa and co mpaka leo wangekua madarakani au Kikwete angeshika urais never.Juma Contena!
I completly fail to understand the way you judge people, just like it happened to Comred John Mashaka!
I've studied Economics since in secondary school and my Bsc in Real Estate Economics is very unfortunately outside African Universities to give you a benefit of doubt! The principles of ecomonics are therefore at my finger tips. Unless you are talking of advanced economics like econometrics and the like!
Nevertheless, I completly give you a cold shoulder on that Tanzanian Univesrities are not providing quality education. We have witnessed a lot of Tz people holding international posts with local degrees obtained from Tz, and they have been sometimes beating the WaTHUNGU badly on interview.
So usibeze vyuo ya nyumbani mzee!
If you noted in my arguments, I am trying to superimpose in our Tanzanian ecenomy how real estate market is practised elsewhere due to my experience outside there!
Kindly if you can also come back to build your nation!