Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Katikati ya jiji la Madrid, kuna hekalu la soka linalo vutia na kuakisi historia tajiri isiyolinganishwa popote kwenye mchezo huu mzuri wa soka.

Estadio Santiago de Bernabéu, ni maskani ya klabu ya Real Madrid, hauna haja ya kufafanuliwa sana kuhusu hekalu huli.

Kwa hadithi zake za kuvutia, usanifu wa wa kipekee, na uwezo wa kuchukua maelfu ya mashabiki, uwanja huu ni moja kati ya alama zenye ishara ya utukufu wachezo wa soka.

Mizizi ya Estadio Santiago Bernabéu inarudi nyuma hadi mwaka 1944 ambapo ujenzi wake ulianza chini ya uongozi wa Rais wa kipekee wa Real Madrid kwa wakati huo, Santiago Bernabéu Yeste.

Siku za awali, uwanja huu ulikuwa mdogo, ukiweza kuchukua watazamaji 75,000 tu, baada ya Kupita miaka, uwanja ulifanyiwa ukarabati mara kadhaa, hadi kufikia hapa ulipo sasa.

Muundo wa uwanja huu ume sanifiwa vema sana hada sana ya muonekana wake na eneo la kucheza soka, siti zake kwa mtindo wa kisasa na wa kihistoria.

Umbo lake la duara limehakikisha kila kiti kinapata mtazamo mzuri wa uwanjani, hivyo kuwawezesha mashabiki wote kushudia vyema kabisa mchezo kila wanapoingia kwenye lango lake takatifu.

Moja ya sifa nyingine kipekee ya uwanja huu ni paa lake linaloweza kufunguka na kufunga.
Paa hili la kutumia teknolojia ya kufunguka na kufunga kwa mitambo ni alama ya ubunufu na umaridadi wa Santiago Bernabeu.

Hata hivyo, kivutio kikuu ni ukuta wake wa nje wenye madirisha ya skriniwe uwezo wa kuufanya uwanja huu kunadirika rangi au kuonesha vicha za video mbali mbali.

Skrini hizi kubwa zenye kuonesha matukio mbalimbali wakati wa mechi, na kumfanya hata alie nje ya uwanja kuenjoy soka kama alie ndani.

Estadio Santiago de Bernabéu umeshuhudia nyakati nyingi bora za kihistoria katika soka.

Kutoka kwa wachezaji maarufu na wakubwa, walio vuja jasho uwanjani wakati wa mapambano ya mechi za kukata na shoka, uwanja huu umeshuhudia ushindi na kushindwa kwa wachezaji bora wa soka.

Ni hapa ambapo Real Madrid imebeba vikombe vingi vya ndani na kimataifa, ikijiweka katika rekodi kuwa klabu klabu iliyo fanikiwa zaidi kwenye soka.

Upepo wa uwanja huu unapo vuma unawapa wachezaji wa timu ya nyumbani hisia za ushindi na kuufanya uwanja kuwa moja ya uwanja mgumu kwa wapinzani kupata matokeo.

Mpira wa miguu hauna maana bila mashabiki na Estadio Santiago de Bernabéu ina mashabiki walio pagawa na wenye shangwe zaidi ulimwenguni wanajulikana kama The Whites ama Los Brancos.

Siku za mechi, uwanja huu hujaa full haouse tena bila hamasa za kwenye mwendo kasi na mashabiki hushangilia na kupiga kelele kwa timu yao pendwa muda wote na uwiano usiobadilika bila kujali matokeo!

Kipindi cha "Galácticos" cha Real Madrid ili jizolea umaarufu na uwanja huu ulivutia mashabiki na wapenzi kutoka kila kona ya dunia.

Mkusanyiko wa jezi za rangi nyeupe na bendera zinazorushwa kwa pamoja huleta hisia murua sana wakati wa mechi na kufanya kutembelea uwanja huu kuwa jambo la kusosimua mnoo lisioweza kusahaulika.

Estadio Santiago de Bernabéu ni zaidi ya uwanja tu, ni ishara ya urithi wa Real Madrid na mchezo wa soka kwa ujumla kutoka kwa kizazi na kizazi.

Unasimama kama ishara ya umoja, undugu, na ubora na tumaini, ukivutia mamilioni kwa utukufu wake.

Kama wewe ni shabiki wa soka au mtazamaji wa basi kutembelea hekalu hili la soka ni moja ya ndoto yako.

Hapo ndio Estadio Santiago dé Bernabeu ukifika jiji la Madrid Hispanja iliza yoyote atakuelekeza.
 
Katikati ya jiji la Madrid, kuna hekalu la soka linalo vutia na kuakisi historia tajiri isiyolinganishwa popote kwenye mchezo huu mzuri wa soka.

Estadio Santiago de Bernabéu, ni maskani ya klabu ya Real Madrid,

hauna haja ya kufafanuliwa sana kuhusu hekalu huli.

Kwa hadithi zake za kuvutia, usanifu wa wa kipekee, na uwezo wa kuchukua maelfu ya mashabiki, uwanja huu ni moja kati ya alama zenye ishara ya utukufu wachezo wa soka.

Mizizi ya Estadio Santiago Bernabéu inarudi nyuma hadi mwaka 1944 ambapo ujenzi wake ulianza chini ya uongozi wa Rais wa kipekee wa Real Madrid kwa wakati huo, Santiago Bernabéu Yeste.

Siku za awali, uwanja huu ulikuwa mdogo, ukiweza kuchukua watazamaji 75,000 tu, baada ya Kupita miaka, uwanja ulifanyiwa ukarabati mara kadhaa, hadi kufikia hapa ulipo sasa.

Muundo wa uwanja huu ume sanifiwa vema sana hada sana ya muonekana wake na eneo la kucheza soka, siti zake kwa mtindo wa kisasa na wa kihistoria.

Umbo lake la duara limehakikisha kila kiti kinapata mtazamo mzuri wa uwanjani, hivyo kuwawezesha mashabiki wote kushudia vyema kabisa mchezo kila wanapoingia kwenye lango lake takatifu.

Moja ya sifa nyingine kipekee ya uwanja huu ni paa lake linaloweza kufunguka na kufunga.
Paa hili la kutumia teknolojia ya kufunguka na kufunga kwa mitambo ni alama ya ubunufu na umaridadi wa Santiago Bernabeu

Hata hivyo, kivutio kikuu ni ukuta wake wa nje wenye madirisha ya skriniwe uwezo wa kuufanya uwanja huu kunadirika rangi au kuonesha vicha za video mbali mbali.

Skrini hizi kubwa zenye kuonesha matukio mbalimbali wakati wa mechi, na kumfanya hata alie nje ya uwanja kuenjoy soka kama alie ndani.

Estadio Santiago de Bernabéu umeshuhudia nyakati nyingi bora za kihistoria katika soka.

Kutoka kwa wachezaji maarufu na wakubwa, walio vuja jasho uwanjani wakati wa mapambano ya mechi za kukata na shoka, uwanja huu umeshuhudia ushindi na kushindwa kwa wachezaji bora wa soka.

Ni hapa ambapo Real Madrid imebeba vikombe vingi vya ndani na kimataifa, ikijiweka katika rekodi kuwa klabu klabu iliyo fanikiwa zaidi kwenye soka.

Upepo wa uwanja huu unapo vuma unawapa wachezaji wa timu ya nyumbani hisia za ushindi na kuufanya uwanja kuwa moja ya uwanja mgumu kwa wapinzani kupata matokeo.

Mpira wa miguu hauna maana bila mashabiki na Estadio Santiago de Bernabéu ina mashabiki walio pagawa na wenye shangwe zaidi ulimwenguni wanajulikana kama THE WHITES ama Los Brancos .

Siku za mechi, uwanja huu hujaa full haouse tena bila hamasa za kwenye mwendo kasi na mashabiki hushangilia na kupiga kelele kwa timu yao pendwa muda wote na uwiano usiobadilika bila kujali matokeo!

Kipindi cha "Galácticos" cha Real Madrid ili jizolea umaarufu na uwanja huu ulivutia mashabiki na wapenzi kutoka kila kona ya dunia.

Mkusanyiko wa jezi za rangi nyeupe na bendera zinazorushwa kwa pamoja huleta hisia murua sana wakati wa mechi na kufanya kutembelea uwanja huu kuwa jambo la kusosimua mnoo lisioweza kusahaulika.

Estadio Santiago de Bernabéu ni zaidi ya uwanja tu, ni ishara ya urithi wa Real Madrid na mchezo wa soka kwa ujumla kutoka kwa kizazi na kizazi.

Unasimama kama ishara ya umoja, undugu, na ubora na tumaini, ukivutia mamilioni kwa utukufu wake.

Kama wewe ni shabiki wa soka au mtazamaji wa basi kutembelea hekalu hili la soka ni moja ya ndoto yako.

Hapo ndio Estadio Santiago dé Bernabeu ukifika jiji la Madrid Hispanja iliza yoyote atakuelekeza.
Ndiyo kusema umekosa hata tupicha tuchache tu twa huo uwanja kwa ajili ya kusindikizia huu uzi wako.
 
8f3969153c6ecb05dbc67982a614e241.jpg
 
Haijafikia Camp Nou
Usifananishe hekalu la soka na upuuzi.

Camp Nou uwanja mkubwa ila limekaa kishamba, hata paa halina.

Ni kama timu zao tu. Madrid imekaa kishua, barca ipo ki local sana. Madrid wana noti hawalii njaa, barca kila wakati mayowe ya ukata hadi wakamuuza Messi ghafla kipindi kile.
 
Unaijua Spotify Camp Nou inayorekebeshwa itakavyokuwa au unaropoka tu?
 
Sasa watu tunazungumzia mambo ambayo tayari yapo kwa muda mrefu wewe unazungumzia future wakati huijui hata kesho itakuwaje? Kati ya mimi nawe nani anaropoka mpaka hapo?

Je likitokea tetemeko usiku huu likapita na huo uwanja kabla hayo maboresho hayajakamilika, huo ubora si utabaki kwenye stori?

Basi ongezea na Estadio de Samia Suluhu Hassan itakayojengwa kule Arusha.
 
Sasa watu tunazungumzia mambo ambayo tayari yapo kwa muda mrefu wewe unazungumzia future wakati huijui hata kesho itakuwaje? Kati ya mimi nawe nani anaropoka mpaka hapo?

Basi ongezea na Estadio de Samia Suluhu Hassan itakayojengwa kule Arusha.
Kwani hiyo Bernabéu iliyorekebishwa ina miaka mingapi mkuu?

Na unajua Spotify Camp Nou imefikia asilimia ngapi ya ujenzi?
 
Isubirie sasa ije ndo uizungumzie.

Ukiulizwa ni tarehe ngapi utaanza tumika huo uwanja ulioboreshwa, utabeba mashabiki wangapi siku hiyo, matukio yapi yatatokea siku hiyo, nk huwezi kujibu kwa uhakika, labda uanze utabiri kama wa wale mashabiki wa simba na yanga akina mhasibu walioongelea future wakati future hakuna aijuaye.

Hiyo ndo tofauti ya future na past/current.
 
Namaanisha uzi kuhusu Spotify Camp Nou

Una wenge sana wewe jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom