Mkuu ulifanikiwa ?Nina shida kama ya kwakoNilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
Umeconfirm kwamba ulituma kwa FSP?Mkuu ulifanikiwa ?Nina shida kama ya kwako