macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,849
- 39,723
Girl Next-door English inapanda vizuri? Kama jibu ni ndiyo basi kuna mstaaafu wa CIA naitwa Jason Matthews. Huyu jamaa ameindika vitabu vitatu mpaka sasa hivi. Ni fiction lakini vinaelezea hali halisi ya majasusi, wanavyochaguliwa, wanavyo operate na wanavyogundilika. Ukisoma vitabi vyake vyote ukavimaliza basi utaona kuwa vi-nchi vya dunia ya tatu kama Tanzania hatuna siri na kila kitu chetu kinajulikana. Vitabu vyake ni: Red Sparrow, Palace of Treason na The Kremlin’s Candidate.View attachment 557753
CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.
Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)
Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?
Yours faithfully,
Girl Next-door,
Nawasilisha.